Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Mimi pia nashangaa, point ya kumkamua mavi ni nini, akizikwa na hayo mavi kuna madhara gani! Naona ni upumbavu tu.
Mluguru hana tamaduni ya kukamua mavi kwa asili, hii imekuja baada ya kuiteract na waislamu ambao tamaduni zao ziko visible kwa kiasi kikubwa uluguruni
 
Vipi Uislam unataka maiti ikamuliwe kabla ya kuzika?
Ndio utaratibu wa kiislamu unaposikia kuosha maiti.

Utaratibu wa kiluguru kabla ya kuinteract na waarabu haukuwa na maswala ya kukamua. Na maiti ilikuwa inakunjwa kama anavyokaa mtoto kwenye mfuko wa uzazi
 
Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti
Kudadadek
 
HUOGOPI KUANDIKA DHIHAKA JUU YA MUNGU WETU MZEE????[emoji848][emoji848][emoji848]

NI YEYE ALIKUUMBA NA KUKUPA AKILI ZA KUJA KUMDHIHAKI NA KUMTUSI.

KUWA MAKINI NA KAULI ZAKO, HAKUNA ALIYEWAHI KUMDHIHAKI NA AKAPATA MATOKEO CHANYA. JITAHIDI UBONGO WAKO UUNGANIKANE NA ULIMI WAKO USIONGEE BILA KICHWA. ITAKUGHARIMU.
Kuikosoa dini ni kumkosoa Mungu?
Hata nyie wenye dini zenu hamueleweki kama Mungu ni wa wakristo au Muslim.

Kwani nikidhihaki dini gani ndio nakua nimemdhihaki Mungu?

#YNWA
 
Too primitive. Mpaka leo unapinga uwepo wa MUNGU.



MUNGU TUSAMEHE SANA, SISI NI WENYE MADHAIFU MENGI, HUKUTUUMBA KUWA WAKAMILIFU. HATUJUI TULITENDALO.
Hebu jibu hoja yake....

""hata kama yupo hana mawazo ya kitaahira kama yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu vya dini. Kwamba mungu yuko very much interested na mavi ya mtu, ana akili kweli?""

Ametoa chance ya kuamini kwamba Mungu yupo.

Haya Mungu anakuaje na concern na kinyesi chako?

#YNWA
 
Waluguru noma!
Sasa wakimbinya sana huyo jamaa akiamka na kuwasihi wakabaji wake......."pole pole jamani mnaniumiza!."......
Si mbio hizo watu kutokea dirishani!
Ataamkaje na walishamkata koo na kumtuboa rectum ili wapate pa kupitisha maji masafi na outlet ya mavi
 
Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.

Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.

Kilichotokea wamechimba shimo mule chumbani kwake na ni nyumba ya smenti wametindua smenti mpaka kukawa na shimo halafu marehemu wakamkafini hapohapo kwenye shimo chumbani. (wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika) walipomaliza kumkafini yale maji yakaachwa mulemule chumbani alipofia marehemu.

Nikauliza sasa hayo maji inakuwaje wakasema hiyo ni mila ya waluguru yani mtu anaacha wosia kabisa kwamba nikifa ufuo wangu uachwe humuhumu chumbani. (Ufuo ni mavi ya marehemu)

Sasa kitakachofanywa baadae eti pale patasakafiwa hivyohivyo na maji ya marehemu pamoja na kinyesi kilichotoka baada ya kukafiniwa.
Si kwa hao tu, ni kawaida kwa waisilamu wengi hata makabila mengine.
 
Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti

Wanasema ni kujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio. shida ni kwamba, kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu.
Acha uongo.Kama ingekuwa wanafanya hivyo,wangeuguwa maradhi ya mlipuko.Umedanfanywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,ukadananyika.
 
Tena usithubutu kunywa kale kauji kao. Hakyamama huwezi jua unakula kinyesi cha marehemu
Acha kudanganywa,ukadanganyika.Kama ingekuwa chakula kinachanganywa na kinyesi,maeneo hayo,kungekuwa na maradhi ya mlipuko,na pia wahusika wa Afya(bibi Afya na Bwana Afya),wangewafungulia mashtaka,wahusika.
Acha kudanganywa,ukadanganyika,tumia akili.
 
Utawaonaje sasa?
Mfano huko wanaweka kwenye ndoo kisha wanamimina kwenye masofuria utajuaje sasa na wanaume marufuku kukaa jikoni ndugu?
Mbona Wakristo,mko wepesi,kudanganywa,mkadanganyika.Hakuna chakula kinachochanganywa na kinyesi.Kama ingekuwa hivyo,kungekuwa na magonjwa ya mlipuko,eneo hilo.
Na pia hakuna bibi afya au bwana afya,angeruhusu hayo yatokee.
 
Naamini Mungu Hana shida na kinyesi Cha mfu sijui haya mambo walitoa wapi Hawa watu wa dini.

Kwamba Mungu anashida na marehemu kuoshwa au kutooshwa sasa Marehemu akiliwa na Simba au kuzama baharini sijui itakuaje maana yake hafiki Mbinguni.?

Yaani Huwa nasikia hadi watu wanatishiana sijui siku ya kwanza kaburini kuna mateso kana kwamba Kila mtu Huwa anazikwa yaani.
Huwa nawaza sana izi story alafu nabaki kucheka tu yani binadamu tumebebeshwa mavitu ya hovyo
 
HUOGOPI KUANDIKA DHIHAKA JUU YA MUNGU WETU MZEE????[emoji848][emoji848][emoji848]

NI YEYE ALIKUUMBA NA KUKUPA AKILI ZA KUJA KUMDHIHAKI NA KUMTUSI.

KUWA MAKINI NA KAULI ZAKO, HAKUNA ALIYEWAHI KUMDHIHAKI NA AKAPATA MATOKEO CHANYA. JITAHIDI UBONGO WAKO UUNGANIKANE NA ULIMI WAKO USIONGEE BILA KICHWA. ITAKUGHARIMU.
Achana na mawazo ya kipumbavu. Mungu hayupo.

Na hata kama angekuwepo basi lakini ametoa maagizo ama maelekezo ya kise.ngerema kama hayo siwezi kua mfuasi wake.

Wewe aliekwambia mungu ameniumba ni nani? Alikuja mkaongea nae akakwambia kwamba ndie alieniumba?

Hivyo vitisho mnapeana nyie mataahira na wafuasi wake mnaoogopa kitu kisichokuwepo.
 
Back
Top Bottom