Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.

Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.

Kilichotokea wamechimba shimo mule chumbani kwake na ni nyumba ya smenti wametindua smenti mpaka kukawa na shimo halafu marehemu wakamkafini hapohapo kwenye shimo chumbani. (wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika) walipomaliza kumkafini yale maji yakaachwa mulemule chumbani alipofia marehemu.

Nikauliza sasa hayo maji inakuwaje wakasema hiyo ni mila ya waluguru yani mtu anaacha wosia kabisa kwamba nikifa ufuo wangu uachwe humuhumu chumbani. (Ufuo ni mavi ya marehemu)

Sasa kitakachofanywa baadae eti pale patasakafiwa hivyohivyo na maji ya marehemu pamoja na kinyesi kilichotoka baada ya kukafiniwa.
Chamsingi ni kutosakafia chumba chote unaacha sehemu ya kukamuliwa nnya
 
Usiende mbali namiii, mimi bado nakupenda

Wanatimua mavumbi sisi twalaaaa

Wanataka mapinduzi, na mapinduzi hawayaweziiiii

Wigowaaaan

Aahahahaahahahahahaaaa Wigowaaaan 😍😍😍

Asikwambie mtuuu tuu tuuu

Babuuu ni faaayaaaaa 😜😜😜😜

Yalaitiiii, nakupenda pasi kifaniiiii.....
Tafautiiii, sikutiliii moyoniiiii.....
Sikuachiiiiii, leo na kesho peponiii.....

Aaahhh aaahhhh aaahhhhaaa Aiiilaaavyuuuuu Big Sam 🥰🥰🥰🥰.
 
Jamaa yupo sahihi,kukafini ni kumtoa mavi Marehemu,nimesoma Islamic knowledge. Wanampigisha mpaka mswaki Marehemu kwa kidole

Hilo neno ni la kiarabu na kumuandaa marehemu ni tofauti
Kama Kafan limetumika kiswahili kama kumtoa kinyesi au uchafu ok
Ila kafan ni ile nguo inayoandaliwa kumfunga marehemu (sanda)

Unaweza kuwa sahihi kwa maana ya kiswahili ila neno hilo limetumika tofauti au limepotoshwa na walioandika
IMG_6565.jpg
 
Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti

Wanasema ni kujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio. shida ni kwamba, kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu.
Hii ni kwa waislamu wote..mzee sio wazigua..
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Unamzungumzia mungu yupi unae dai hana akili unayo sema?
 
Mkuu wanatumia maji ya moto kiasi(vuguvugu).Wanakuwa na mafuta ya taa ili kukata harufu,maji ya moto yanasaidia kuuweka mwili katika hali ya kutokakamaa,sio utani,kama wanabisha waje hapa wakanushe.
We ntu wa dili
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Halafu eti wanadai 'imeteremshwa' na eti ni dini isiyo na shaka ndani yake!
 
Acha kudanganywa,hakuna kitu kama hicho,mbona wakristo mko wepesi kudanganywa mkadanganyika.Ndio maana,mkaamini mkombozi wentu,alipigwa na kusulubiwa,vipi ashindwe kujikomboa mwenyewe kwenye kipigo na kusulubiwa,aje akukombowe wewe.
Unachopinga ndio msingi wa imani ya kikristo wala hauna jipya ndugu,ni kama wewe unavyoamini kukamuana mavi ni sahihi na sisi wakristo tunaona ni uhayawani tu lakini kwenu ni MSINGI!
 
Waulize mitume wa Mwenyezi Mungu,na swali jingine Yesu alizikwa na jeneza?
Ndio maana tunaona kuna walakini kwenye vichwa vyenu yaani unataka tuamini kuzikwa bila jeneza au na jeneza kunakupeleka mbinguni? Hizo ni taratibu za kibinadamu tu.Waarabu wamewafanya muamini hata katika mambo ya hovyo!
 
Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.

Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.

Kilichotokea wamechimba shimo mule chumbani kwake na ni nyumba ya smenti wametindua smenti mpaka kukawa na shimo halafu marehemu wakamkafini hapohapo kwenye shimo chumbani. (wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika) walipomaliza kumkafini yale maji yakaachwa mulemule chumbani alipofia marehemu.

Nikauliza sasa hayo maji inakuwaje wakasema hiyo ni mila ya waluguru yani mtu anaacha wosia kabisa kwamba nikifa ufuo wangu uachwe humuhumu chumbani. (Ufuo ni mavi ya marehemu)

Sasa kitakachofanywa baadae eti pale patasakafiwa hivyohivyo na maji ya marehemu pamoja na kinyesi kilichotoka baada ya kukafiniwa.

Ina kuhusu au kukuathiri chochote?
 
Unachopinga ndio msingi wa imani ya kikristo wala hauna jipya ndugu,ni kama wewe unavyoamini kukamuana mavi ni sahihi na sisi wakristo tunaona ni uhayawani tu lakini kwenu ni MSINGI!
Hata wakristo wanaoshwa na kusafishwa mavi,usaha,damu na uchafu mwingine.Wapo watu wakifa,wanajinyea.Wengine wanajikojolea,bila kuoshwa unafikiri mngweza kuaga au kumuombea.Ni kwa vile wakristo,wanawalipa watu maalumu wa kutisha,ndio hawajui hilo.
 
Ndio maana tunaona kuna walakini kwenye vichwa vyenu yaani unataka tuamini kuzikwa bila jeneza au na jeneza kunakupeleka mbinguni? Hizo ni taratibu za kibinadamu tu.Waarabu wamewafanya muamini hata katika mambo ya hovyo!
Unajua masuala ya dini ni mapana sana,ingawa watu wameficha ukweli ili watu wasijue,Musa hakuzikwa na jeneneza sababu sheria ya Mungu hairuhusu mtu kuzikwa na jeneza,Mafirauni wala waovu ndiyo waliokuwa wanazikwa na majeneza.Sasa utachagua utakuwa upande upi?
 
Back
Top Bottom