Umenena kitu kikubwa sana. Wangejitambua na kwa wingi wao wa ngekua game changer.Kwa nini wasiwekwe kwenye kundi la watu wasio na akili?Dunia yote,wamachinga ndiyo hubadilisha siasa.Siyo Tanzania.
Kwa sababu wao ni kundi maalumu linahitaji special treatmentKwanini wasiwekwe kwenye wizara ya viwanda na biashara!
Kua uyaone. Ishi uyashuhudie.Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.
Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.
Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.
Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima
Umasikini ni zaidi ya ulemavuNimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.
Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.
Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.
Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima
Wizara yenyewe bajeti kiduchu hamna kitu apoKwa sababu wao ni kundi maalumu linahitaji special treatment
Machinga ni kundi Maalumu hakuna cha kujitetea.Serikali haija watendea haki wamachinga kwa kuwaweka kwenye hii wizara
Kwa kuwa hii wizara imejikita Hasa kwenye maswala haya:
Jinsia- wanawake, LGBTQ (kulihudumia hili kundi Kwa Mambo mbalimbali)
Wazee - kupewa matunzo na kuishi vizuri.
Makundi Maalumu - kuwapatia mahitaji yao malemavu, hapa hata LGBTQ wanaingia tena kupewa huduma na mahitaji hao mbalimbali
Walitakiwa wa wekwe kwenye wizara ya viwanda na biashara
Kwa sababu wanasaidia kuuza bidhaa mbalimbali zinazalishwa viwandani, zikiwemo bidhaa za nje na ndani ni
SS mumewafanya wamachinga sio tena wafanya biashara, matatizo Yao ya kibiashara ya tatatuliwa kwenye madawati ya jinsia,wazee pamoja na walemavu
Hii inaonyesha jinsi gani serikali (taasisi ya ikulu) haina washauri wazuri
Kwani machinga wanaenda kugawiwa fedha za bajeti ya Wizara?Wizara yenyewe bajeti kiduchu hamna kitu apo
Wamachinga wetu wamefurahia nakupiga makofiKwa nini wasiwekwe kwenye kundi la watu wasio na akili?Dunia yote,wamachinga ndiyo hubadilisha siasa.Siyo Tanzania.
Nafikiri Wizara ya Kazi, Ajira, na Maendeleo ya Vijana ndiyo hasa inawahusu wamachinga. Katika maeneo yote inawagusa, suala la wao kujishighulisha na kazi zao za uchuuzi, ajira zao zisizokuwa rasmi katika sekta binafsi na pia fursa za maendeleo zilizopo kwao kwa kuwa wengi wao bado ni vijana.Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.
Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.
Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.
Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima
Mkuu wamewekwa kwenye kundi hilo kwa maana ya kuwa na uangalizi wa karibu kwenye changamoto wanazopitia.Serikali haija watendea haki wamachinga kwa kuwaweka kwenye hii wizara
Kwa kuwa hii wizara imejikita Hasa kwenye maswala haya:
Jinsia- wanawake, LGBTQ (kulihudumia hili kundi Kwa Mambo mbalimbali)
Wazee - kupewa matunzo na kuishi vizuri.
Makundi Maalumu - kuwapatia mahitaji yao malemavu, hapa hata LGBTQ wanaingia tena kupewa huduma na mahitaji hao mbalimbali
Walitakiwa wa wekwe kwenye wizara ya viwanda na biashara
Kwa sababu wanasaidia kuuza bidhaa mbalimbali zinazalishwa viwandani, zikiwemo bidhaa za nje na ndani ni
SS mumewafanya wamachinga sio tena wafanya biashara, matatizo Yao ya kibiashara ya tatatuliwa kwenye madawati ya jinsia,wazee pamoja na walemavu
Hii inaonyesha jinsi gani serikali (taasisi ya ikulu) haina washauri wazuri
Yes... wangewekwa kundi maalum ndani ya wizara husika!Kwanini wasiwekwe kwenye wizara ya viwanda na biashara na uwekezaji
Daah nimecheka, wabongo tunapenda sana kulalamika. Yaani tunalalamikia chochoteMachinga ni kundi Maalumu hakuna cha kujitetea.
Nafikiri Wizara ya Kazi, Ajira, na Maendeleo ya Vijana ndiyo hasa inawahusu wamachinga. Katika maeneo yote inawagusa, suala la wao kujishighulisha na kazi zao za uchuuzi, ajira zao zisizokuwa rasmi katika sekta binafsi na pia fursa za maendeleo zilizopo kwao kwa kuwa wengi wao bado ni vijana.
Machinga tunawaona wakijibiidisha kutafuta maisha, ni vijana wenye nguvu na afya. Kamwe huwezi kuwaweka katika kundi maalum, yaani wao pia watambulike kama watu wenye "special needs". Hapana! Hapana! Hapana hata kidogo.
Ushauri mwingine unapaswa kuchujwa na wahusika kabla ya kupokelewa na kutamkwa hadharani. Hata fanani mwenyewe anapaswa kuwa na ufahamu mzuri wa mambo anayotaka kuyaongelea kabla ya kwenda hadharani na kutoa tamko kwa hadhira.
Labda kwa sababu baadhi yao wana mitaji midogo ndio maana wakaonekana kama walemavu, serikali inawaona dhaifu kwenye kulipa kodi.
Taasisi imeamua wala sio mamaPoint.
Mama angepita kwenye huu uzi angejifunza kitu.