Michael makene
Member
- Jan 20, 2021
- 73
- 180
Hao waliopiga makofi sio machinga ni uvccm waliokuwa wamepangwa. Amini nakwambia chinga wa kweli Kama Mimi siwezi kumpigia makofi hangaya kaharibu mfumo wa maisha yangu kwa kunivunjia kibanda na kunipeleka mapolini ambako hakuna wateja mtaji umefirisika Sacco's wananichukulia vitu ndani kwakukosa rejesho....naichukia Sana awamu hiiWamachinga wetu wamefurahia nakupiga makofi