Wamama badirikeni kidogo

Wamama badirikeni kidogo

si ndio nimeshangaa, kuna single maza mmoja anakomaa na watoto wake watatu, japo yeye ni wale wanaume wanaotelekeza familia, dada wa watu kakomaa
Hiyo ndiyo hulka ya mama sijui huyo yeye akili yake ikoje
 
Alikuwa nao sana kipindi icho alikuwa mzabuni pale twalipo
Sasa nini kilifanya muone kuna umuhimu wa kuwachukua watoto?
Wangeweza kusaidia wakiwa hapo hapo kwa mama yao kama ni ada wakalipe shule au kukiwa na tatizo wanasaidia.
Kuweka mbali mtoto mbali na mama yake bila sababu za msingi haipendezi.
 
Mimi pia ni mwalimu wa kujitegemea nina dada zangu walioolewa nimezungukwa na jamii ya namna hio toto linaishi na mama tu kichwani zero labda aishi na Babu au mjomba mtoto anakua kipanga ninakwambia kitu ninachokijua
Kwahiyo kumbe hapa una reference ya dada zako mkuu? Kwanini dada zako wapo hivo? Au nao walikosa malezi ya wazazi wote?
 
Sawq ila malezi yanachochea
Na wewe chukua somo hapo. Hakikisha unaoa mke aliyesoma na ana kazi . Kama hana kazi mfungulie biashara. Sio mnaoa wanawake wa kushinda nyumbani wanawategemea kila kitu, ghafla unaanguka hapo mwanamke hana pa kuanzia hajui hata nyanya zinauzwaje.

Ndio mambo hayo watoto wanalelewa kwa misaada na mama anaenda kudanga.
Chukua hilo kama somo.
 
Sasa nini kilifanya muone kuna umuhimu wa kuwachukua watoto?
Wangeweza kusaidia wakiwa hapo hapo kwa mama yao kama ni ada wakalipe shule au kukiwa na tatizo wanasaidia.
Kuweka mbali mtoto mbali na mama yake bila sababu za msingi haipendezi.
Sio sisi ni shemeji zake upande wa mumewe wachaga si unawajua walivyo
 
Na wewe chukua somo hapo. Hakikisha unaoa mke aliyesoma na ana kazi . Kama hana kazi mfungulie biashara. Sio mnaoa wanawake wa kushinda nyumbani wanawategemea kila kitu, ghafla unaanguka hapo mwanamke hana pa kuanzia hajui hata nyanya zinauzwaje.

Ndio mambo hayo watoto wanalelewa kwa misaada na mama anaenda kudanga.
Chukua hilo kama somo.
Sina mpango wa kuoa
 
Sio sisi ni shemeji zake upande wa mumewe wachaga si unawajua walivyo
Wachaga hawana shida yoyote. Ni huyo dada yako anatatizo..unakubalije watoto wachukuliwe na umri mdogo hivyo bila sababu ya msingi?
 
Wachaga hawana shida yoyote. Ni huyo dada yako anatatizo..unakubalije watoto wachukuliwe na umri mdogo hivyo bila sababu ya msingi?
Mimi kwakweli sijui kipind iko nilikuwa bad nipo shule bordn
 
Mama aachiwe watoto wake awalee mwenyewe, wakifeli mzigo utakuwa wake mwenyewe, ilitakiwa wamsapot matumizi tu, watoto wawili ndio wakugawa huyu akae kule na huyu akae huku, halafu mama yao awe anafanya nini?
Ajabu sana kama kusaidia walitakiwa kusaidiwa wakiwa huko huko kwa mama yao.
 
Kwanin watoto wachukuliwe?si wasaidiwe wakiishi na mama yao
 
Back
Top Bottom