mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Hiyo ndiyo hulka ya mama sijui huyo yeye akili yake ikojesi ndio nimeshangaa, kuna single maza mmoja anakomaa na watoto wake watatu, japo yeye ni wale wanaume wanaotelekeza familia, dada wa watu kakomaa