Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

The question is simply this: Can a negro, whose ancestors were imported into this country, and sold as slaves become a member of the political community formed and brought into existence by the Constitution of the United States?...

We think they are not, and that they are not included under the word “citizen” in the Constitution and can therefore claim none of the rights and privileges which that instrument provides…

No one of that race had ever migrated to the United States voluntarily; all of them had been brought here as articles of merchandise…and so far inferior, that they had no rights which the white man was bound to respect. Reference American Black Museum Holocaust museum : Mawazo ya mtoa post Yako hapa kama wazungu wale wa zamani.
 
Umewahi kuliona gazeti la Sani hebu tuanzie hapo?nisije kutana na bishana na katoto changu ka late 1900😁😁😁😁
Wewe Mimi nimezaliwa hujazaliwa

Zena na Betina
Lodi Lofa
Kipepe
Fimbocheza na Wachafuzi wa Lugha
Visa vya Madenge
Nk

Hizo katuni na simulizi nimezisoma sana zilikua kwenye Jarida la Sani mwanzilishi na Mbunifu wa Jarida hilo anaitwa Nico Mbajo RIP
 
Mwenzako amekukataza kukariri madesa wewe tena unampa hayo hayo madesa.

Jf inabidi muweke na option ya fimbo ili mtu mgumu kuelewa kama huyu unabonyeza kitufe cha fimbo
 
Kwa muktadha huo unaotaka kwenda nao,Slave trade was legal trade until abolition of slave trade 1807.....so waliingia legally
It was legal to who? To the slaves or to the slave traders and owners?
 
Mwenzako amekukataza kukariri madesa wewe tena unampa hayo hayo madesa.

Jf inabidi muweke na option ya fimbo ili mtu mgumu kuelewa kama huyu unabonyeza kitufe cha fimbo
Nimejaribu kukuonyesha, the rationale behind your ' Argument:
 
Katika hao wajinga wengi, wewe ndio Rais wa wajinga.
 
Ilikuwa biashara halali kama ilivyo Mirungi halali Kenya lakini Tanzania ni haram.
1. Biashara ya mirungi Kenya ni halali kwa nani? Kwa watumia mirungi au kwa serikali au wote kwa pamoja?

2. Biashara ya watumwa ilikuwa ni halali kwa nani? Kwa wamiliki na wauza watumwa au kwa watumwa?
 
Wewe Mimi nimezaliwa hujazaliwa

Zena na Betina
Road Lofa
Kipepe
Fimbocheza na Wachafuzi wa Lugha
Visa vya Madenge
Nk

Hizo katuni na simulizi nimezisoma sana zilikua kwenye Jarida la Sani mwanzilishi na Mbunifu wa Jarida hilo anaitwa Nico Mbajo RIP
Rekebisha hapo ni Lodi lofa, ukiandika Road hiyo barabara.

Halafu SS Bawji alikuwa ni nani hapo Sani?
 
Ilikuwa biashara halali kama ilivyo Mirungi halali Kenya lakini Tanzania ni haram.
Tatizo
1. Biashara ya mirungi Kenya ni halali kwa nani? Kwa watumia mirungi au kwa serikali au wote kwa pamoja?

2. Biashara ya watumwa ilikuwa ni halali kwa nani? Kwa wamiliki na wauza watumwa au kwa watumwa?
Una maswali ya kitoto sana,

Mirungi ni legal in Kenya ,sasa consumer anayo choice atumie asitumie ni yeye,one man poison is another man Food. Be Smart Kid.
 
Huwezi kujua historia bila kuisoma mkuu; vingenevyo uwe Malaika unaoteshwa Kama akina Mwamposa.
Akili za kuambiwa unachanganya na zako. Lazima uwe na uwezo wa kujenga hoja zako Binafsi wewe kama wewe.

Tena wewe unaonekana mwanafunzi au muhitimu wa sheria.

Mwanasheria unatakiwa kuwa mtundu mtundu.

Unapaswa kuwa na reasoning.
U have to learn how to think beyond others.

Nyie ndio wanasheria ambao mkiulizwa mji mkuu wa Tanzania ni nini unasema "Dodoma" halafu hutoi sababu kwa nini Dodoma kwa nini sio Mwanza, Dar au Arusha.
 
Tatizo

Una maswali ya kitoto sana,

Mirungi ni legal in Kenya ,sasa consumer anayo choice atumie asitumie ni yeye,ona man poison is another man Food. Be Smart Kid.
Eti swali la kitoto🤣🤣🤣🤣
Okay so biashara ya mirungi Kenya ni halali kwa serikali na watumiaji. Right?

Vipi kuhusu biashara ya watumwa? Ilikuwa halali kwa wahusika wote? Kuanzia wafanya biashara na wamiliki hadi watumwa wenyewe?
 
It was legal to who? To the slaves or to the slave traders and owners?
Nyie si mmeleta mambo ya documents and blah blah,Sasa wenzenu Babu zao waliingia na recognize documents za slave master zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…