Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 262
- 409
The question is simply this: Can a negro, whose ancestors were imported into this country, and sold as slaves become a member of the political community formed and brought into existence by the Constitution of the United States?...Najua umesoma sheria. Mimi sijasoma sheria ila Nina ufahamu kidogo kuhusu kitu kinaitwa Jurisprudence. Somo la jurisprudence linakukataza kuwaza namna hii mkuu.
Mwanasheria anatakiwa kutafsiri sheria kama zinavyo takiwa kuwa na sio kama zilivyo andikwa..
wewe una tafsiri sheria kama ilivyo andikwa kwenye hilo desa ulilosoma ndio maana umeshindwa kumuelewa mtoa mada.
Mtoa mada amewaza nje ya box.
Amekataa kufungwa na hii definition ya immigrant ambayo umekaririshwa chuoni.
Sheria: ndoa kati ya mwanaume na binamu yake ni haramu.
Kesi imekuja mbele yako. Mwanamke aliolewa na binamu yake wakazaa watoto watano mume kafariki kaacha mali umetokea mgogoro wa mali kesi imefika kwako then una rule out against the widower kwa kusema hastahili kurithi mali kwa sababu ndoa yake ilikuwa haramu lakini kumbe kama ungetumia akili yako kidogo na ku apply knowledge yako ya jurisprudence ungegundua kwamba judge unapokuwa una judge baadhi yakesi unatakiwa utazame na other facts kama vile historical and cultural.
Mwisho wa siku unakuja kugundua kumbe huyu mjane anatoka katika jamii na tamaduni ambazo kwazo ni kawaida mtu na binamu kuoana.
Soma vitabu mkuu upanue ubongo wako.
Msomi anae kariri ni hatari ni mjinga alie changamka
We think they are not, and that they are not included under the word “citizen” in the Constitution and can therefore claim none of the rights and privileges which that instrument provides…
No one of that race had ever migrated to the United States voluntarily; all of them had been brought here as articles of merchandise…and so far inferior, that they had no rights which the white man was bound to respect. Reference American Black Museum Holocaust museum : Mawazo ya mtoa post Yako hapa kama wazungu wale wa zamani.