Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 262
- 409
Mkuu siyo majungu ni kweli 50 cent kanizidi kila kitu lakini haiondoi uhalisia uliopo pale USA.Majungu sio mtaji alafu usipende kujifariji mtu flani ni average ilihali amekuzidi mambo mengi sana acha majungu
Hata samia akienda baadhi ya maeneo hapa Tanzania watu wengi hawawezi mtambua
Unajua ndio maana nilisema hapo mwanzo kwamba ur a very slow learner.How do you rate 50 cent Avarage person in Usa? Kama alitishaa show Madison Square ikajaa hao wazungu? Tuambie ulie fika usa
Ur tje true son of your fatherMm nitasema kitu...
Sio wamarekani weusi wote ni wajinga kuna scientist ni vichwa kabisa wapo NASA wengine jeshini wana vyeo vikubwa na wengine ni viongozi
Shida ni kwamba meantality yao haijakaa sawa...50 cent ni mpambanaji kweli ila haimaanishi kwamba yuko very smart lkn kuna wakati pia na yeye anachemka...
Mentality haijakaa sawa kivipi mkuu hebu dadavua hapa nami nipaelewe kidogo tuendelee kumpa amani mleta mada Uzi unatembeaMm nitasema kitu...
Sio wamarekani weusi wote ni wajinga kuna scientist ni vichwa kabisa wapo NASA wengine jeshini wana vyeo vikubwa na wengine ni viongozi
Shida ni kwamba meantality yao haijakaa sawa...50 cent ni mpambanaji kweli ila haimaanishi kwamba yuko very smart lkn kuna wakati pia na yeye anachemka...
Wanapenda kulialia sana na kuanzisha bifu zisizo na msingi. Unakuta niga anapambana na polisi kizembe tu na kosa kafanya wakishamfyatua wanaanza maandamano. Na wazungu walivyo washenzi wanawafyatua kila siku then wanawaanzishia slogan za kimapambano kam ile ya black life matters. Basi wakishakuwa na hjzo slogan wanaona wameahinda nyau wale😤😤😤😤😤Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Ni vichwa maji hasa , legacy ya utumwa iliwaharibu akiliAsilimia 75% ya wafungwa wote kwenye jela za marekani ni African American hawa jamaa ni weupe kichwani kama wamezaliwa porini hata maisha Yao wanavyoishi ni vituko Tu.
Jamaa eti kaongeza followers kwa hoja ya kishamba namna hii can you imagine? Hajui hata abcd za mtu kuwa raia wa nchi automaticallyWewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika,kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika,hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?..hao weupe siyo wazungu wa ulaya!?..Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
Akifa hata sisi member wa humu tunaweza tusijue😁😁😁😁Watanzania tuna ujuaji sana alafu ujuaji huo tumeshindwa isaidia nchi yetu kutoka kwenye umaskini
Mfano miaka ya nyuma hasa 2000's kurudi nyuma kulikua na narrative kwamba elimu ya Tanzania ni ngumu na watu waliikubali ila baadae ikaja julikana tatizo ni watanzania wengi hawana msingi wa lugha ya kingereza wanakariri sana kwa hiyo elimu sio ngumu bali ni wanafunzi hawana msingi mzuri wa kingereza
Hata mtoa uzi anajiona ana-akili lakin leo akifa atakumbukwa kwa lipi nakuhakikishia jibu hana
Don't generalise! Kuna Waafrika wengi tu, hata huko Marekani, ambao wana akili nzuri sana kichwani mpaka wengine wamewaajiri wazungu. Kuna wazungu, wahindi, wachina, nk.; ambao nao ni watupu kabisa kichwani, japo si wote.Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
👏🙏Bila hao African American kufanya revolution,sisi wengine tusingekanyaga Huko America so ni jasho na damu zao , Marcus Garvey,Martin Luther,Malcom X etc Hilo ajue
FactKinachoniudhi about black Americans ni kutokua na mifumo mizuri yakujitoa kwenye umasikini, ni kama sisi tu uku Africa, ndo maana hata baada ya kutuachia nchi zetu bado tunawatukana wao ndo chanzo cha umasikini wetu as if walitukuta matajiri.
Sina huakika, ila unaweza kuta 50cent na utajiri wake hajawai kufungua hata kiwanda cha snikers akakibrand kutumia fame alonayo na kuweka kwenye vitengo ma black wenzake walio soma ili kukuza uchumi wao.
Ila utakuta anafurahia kuona washikaji zake wote anawavuta anashinda nao studio na kuwapa tu position twa uchawa tuu, kama ubodgurd sababu wengi huona kumiliki bunduki, branded outfits, private jets, na madhahabu ndo kama mafanikio.
Familia nyingi za wazungu zina mifumo mizuri ya kuzalisha pesa na kuendesha maisha yao ni nadra sana kumkuta mzungu akiwaza luxuries akipata pesa zaidi hua wanawekeza for their future generation.
Wafrika tubadirike wenzetu wakipata pesa wanawaza kuwekeza zaidi ila kwa blacks tukipata pesa tuu, tunawaza kuweka heshima kwa watu walio tudharau ili kuwakomesha ndo hapo campuni za gucci n.k ndo zinapofanyia biashara.
Wakaazi halali wa huko ni Wahindi wekundu, hata weupe ni wahamiaji haramu.Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini[emoji116]
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
FactWakaazi halali wa huko ni Wahindi wekundu, hata weupe ni wahamiaji haramu.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app