Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona haujibiwi swali lako 😂Nasubiri mkuu LIKUD Nkaangalie huko alivyo watoa nishai black americA.
Ni kwenye page ya 50cent au page iliyo repost? Inaitwaje hio page nikajionee na mimi?
😁😁😁Umetupa sababu ya kukusengenya ulivyoanza kuwasengenya wenzio
Atakumbukwa Kwa kuacha watoto aliozaa hovyo huko NjombeWatanzania tuna ujuaji sana alafu ujuaji huo tumeshindwa isaidia nchi yetu kutoka kwenye umaskini
Mfano miaka ya nyuma hasa 2000's kurudi nyuma kulikua na narrative kwamba elimu ya Tanzania ni ngumu na watu waliikubali ila baadae ikaja julikana tatizo ni watanzania wengi hawana msingi wa lugha ya kingereza wanakariri sana kwa hiyo elimu sio ngumu bali ni wanafunzi hawana msingi mzuri wa kingereza
Hata mtoa uzi anajiona ana-akili lakin leo akifa atakumbukwa kwa lipi nakuhakikishia jibu hana
Taja state Ambayo 50 Cent akienda pale Marekani hajulikaniKujaza show siyo tatizo mkuu, inategemea na ukanda aliokwenda pengine ndio mafans wake wapo uko. Ila kuna sehemu pale State akienda ni mtu wa kawaida sana pengine hata Wengine hawamjui. Mkuu marekani siyo kama bongo ambapo ukiwa maarufu kila kona watakujua.
Kutumia comparison kati ya baba yangu mzazi na Malcom X niliopt kunyamaza Kwa kuwa nilijua lengo lako ni kuibua hisia zangu,ambazo kimsingi ninauwezo mkubwa wa ku control Hilo suala,Sijui kama tatizo lako umelijua? Anyways ni hivi akili ya mwanadamu ina nguvu kubwa sana kuliko unavyo weza kufikiri. Ukikichukua kitu ukakiweka juu ya akili yako basi kitu hicho kitakaa juu ya akili yako kwa sababu ni wewe ndio umeamua kukiweka juu ya akili yako.
Kwa maelezo yako ya awali inaonekana dhahiri kwamba umewapa wamarekani weusi hadhi ya juu sana kwenye akili yako ndio maana umeshangaa kuona Mimi ninawaona kinyume na unavyo waona wewe.
Ulivyo mtaja Malcolm X kwenye maongezi yetu nikakuuliza kati ya Malcolm X na baba ako mzazi unadhani nani ana akili nyingi kushinda mwenzake ukakaa kimya. I was surprised.
So wewe una amini Malcolm X alikuwa smart?Kutumia comparison kati ya baba yangu mzazi na Malcom X niliopt kunyamaza Kwa kuwa nilijua lengo lako ni kuibua hisia zangu,ambazo kimsingi ninauwezo mkubwa wa ku control Hilo suala,
Ulikosa hoja,ukatoka nje ya mada, Anyways...Kuniuliza kuhusu baba yangu na Malcom X obviously nitachoose baba yangu ndio ana akili Kwa kuwa ni damu na mfupa wangu,kanitunza tangu nikiwa mtoto,kanilisha,kanilisha,kanisomesha kanipa upendo wote niliostahili hata nilipokosea bado aliendelea kunipenda ,Sasa kufananisha na Malcom X huko ni kunitafuta uongo,japokuwa bado heshima yangu ya uwezo wa na akili ya Malcom X ipo palepale....Yote katika yote baba yangu sio motivational speaker,sio influencer Wala politician,baba yangu ni businessman,so huwezi kuwa fananisha Hawa watu ni mafuta na maji,,,Angalau ingekuwa na Nia kweli ya Hilo swali ungeniuliza kuhusu Nyerere,Kwame Nkurumah,Mandela,Samora Machel n.k......ila Kwa vile hukuwa na hoja ukaona ngoja nimstress na that's why niliopt kukuignore,maana niliona huna uwezo wa kuhimili hoja nzito bila makasiriko kama Robert Heriel Mtibeli
Naomba link ya ya huko C.H
Naomba link ya ya huko C.H
Naomba link ya ya huko C.H
Yes!mwenzangu unaamini alikuwa Kilaza?So wewe una amini Malcolm X alikuwa smart?
Mjadala umeishia hapa.Wewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika,kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika,hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?..hao weupe siyo wazungu wa ulaya!?..Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
Haya , hebu jibu hoja ya 50 cent sasa, maana hao African Americans ni documented immigrants, tena wanaolipa kodi...Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Sasa kufa kwake ni sababu ya chuki za kidini,alivyomchallange yule Muhammad na akataka kufungua msikiti ndio waislam wasio na akili wakakurupuka as usual....Sasa hapo ujinga wake ni Nini?Do smart died the way he died?.do u know what Elijah Muhammad ( the leader of the nation of Islam).said about him as soon as he was killed?
Ninachoshukuru Mimi hakujitambulisha,sijui tungeweka wapi sura zetu.....Haya , hebu jibu hoja ya 50 cent sasa, maana hao African Americans ni documented immigrants, tena wanaolipa kodi...
Na i hope hukusema wewe ni MTanzania, maana ungeliaibisha sana taifa..
Kutumia comparison kati ya baba yangu mzazi na Malcom X niliopt kunyamaza Kwa kuwa nilijua lengo lako ni kuibua hisia zangu,ambazo kimsingi ninauwezo mkubwa wa ku control Hilo suala,
Ulikosa hoja,ukatoka nje ya mada, Anyways...Kuniuliza kuhusu baba yangu na Malcom X obviously nitachoose baba yangu ndio ana akili Kwa kuwa ni damu na mfupa wangu,kanitunza tangu nikiwa mtoto,kanilisha,kanilisha,kanisomesha kanipa upendo wote niliostahili hata nilipokosea bado aliendelea kunipenda ,Sasa kufananisha na Malcom X huko ni kunitafuta uongo,japokuwa bado heshima yangu ya uwezo wa na akili ya Malcom X ipo palepale....Yote katika yote baba yangu sio motivational speaker,sio influencer Wala politician,baba yangu ni businessman,so huwezi kuwa fananisha Hawa watu ni mafuta na maji,,,Angalau ingekuwa na Nia kweli ya Hilo swali ungeniuliza kuhusu Nyerere,Kwame Nkurumah,Mandela,Samora Machel n.k......ila Kwa vile hukuwa na hoja ukaona ngoja nimstress na that's why niliopt kukuignore,maana niliona huna uwezo wa kuhimili hoja nzito bila makasiriko kama Robert Heriel Mtibeli
Likud brother Halafu unasema una exposure,na umewazidi akili wamarekani hata C.H huijui,,,,hiyo ni Club House ingia uone watu wanavyopanga hoja zao.What is C.H?
Nimemiss tu unavyonifanyiga ubishi,hata jambo liko wazi unabisha tu duuuh🤣🤣Jambo Toto tundu naona unasababisha huku🏃🏃
Nimemiss tu unavyonifanyiga ubishi,hata jambo liko wazi unabisha tu duuuh🤣🤣