Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Wengi ni wavivu sana mjomba...starehe...ulevi....kila jambo hudhani wanaonewa....wako radhi wasifanye kazi ili wapate food ticket..na wakipata huenda kulewa na kuvuta.
100%
 
😁😁😁Umetupa sababu ya kukusengenya ulivyoanza kuwasengenya wenzio

Sijui kama tatizo lako umelijua? Anyways ni hivi akili ya mwanadamu ina nguvu kubwa sana kuliko unavyo weza kufikiri. Ukikichukua kitu ukakiweka juu ya akili yako basi kitu hicho kitakaa juu ya akili yako kwa sababu ni wewe ndio umeamua kukiweka juu ya akili yako.

Kwa maelezo yako ya awali inaonekana dhahiri kwamba umewapa wamarekani weusi hadhi ya juu sana kwenye akili yako ndio maana umeshangaa kuona Mimi ninawaona kinyume na unavyo waona wewe.

Ulivyo mtaja Malcolm X kwenye maongezi yetu nikakuuliza kati ya Malcolm X na baba ako mzazi unadhani nani ana akili nyingi kushinda mwenzake ukakaa kimya. I was surprised.
 
Watanzania tuna ujuaji sana alafu ujuaji huo tumeshindwa isaidia nchi yetu kutoka kwenye umaskini
Mfano miaka ya nyuma hasa 2000's kurudi nyuma kulikua na narrative kwamba elimu ya Tanzania ni ngumu na watu waliikubali ila baadae ikaja julikana tatizo ni watanzania wengi hawana msingi wa lugha ya kingereza wanakariri sana kwa hiyo elimu sio ngumu bali ni wanafunzi hawana msingi mzuri wa kingereza

Hata mtoa uzi anajiona ana-akili lakin leo akifa atakumbukwa kwa lipi nakuhakikishia jibu hana
Atakumbukwa Kwa kuacha watoto aliozaa hovyo huko Njombe
 
Kujaza show siyo tatizo mkuu, inategemea na ukanda aliokwenda pengine ndio mafans wake wapo uko. Ila kuna sehemu pale State akienda ni mtu wa kawaida sana pengine hata Wengine hawamjui. Mkuu marekani siyo kama bongo ambapo ukiwa maarufu kila kona watakujua.
Taja state Ambayo 50 Cent akienda pale Marekani hajulikani
 
Illegality of something can, and always do, become legal by baptismal legislation.
It is an insult to name people who have been legalized as legal citizens of USA as illegal immigrants.

If we can trace your history, you also might be an illegal immigrant in Tanzania (Tanganyika).
 
Sijui kama tatizo lako umelijua? Anyways ni hivi akili ya mwanadamu ina nguvu kubwa sana kuliko unavyo weza kufikiri. Ukikichukua kitu ukakiweka juu ya akili yako basi kitu hicho kitakaa juu ya akili yako kwa sababu ni wewe ndio umeamua kukiweka juu ya akili yako.

Kwa maelezo yako ya awali inaonekana dhahiri kwamba umewapa wamarekani weusi hadhi ya juu sana kwenye akili yako ndio maana umeshangaa kuona Mimi ninawaona kinyume na unavyo waona wewe.

Ulivyo mtaja Malcolm X kwenye maongezi yetu nikakuuliza kati ya Malcolm X na baba ako mzazi unadhani nani ana akili nyingi kushinda mwenzake ukakaa kimya. I was surprised.
Kutumia comparison kati ya baba yangu mzazi na Malcom X niliopt kunyamaza Kwa kuwa nilijua lengo lako ni kuibua hisia zangu,ambazo kimsingi ninauwezo mkubwa wa ku control Hilo suala,
Ulikosa hoja,ukatoka nje ya mada, Anyways...Kuniuliza kuhusu baba yangu na Malcom X obviously nitachoose baba yangu ndio ana akili Kwa kuwa ni damu na mfupa wangu,kanitunza tangu nikiwa mtoto,kanilisha,kanilisha,kanisomesha kanipa upendo wote niliostahili hata nilipokosea bado aliendelea kunipenda ,Sasa kufananisha na Malcom X huko ni kunitafuta uongo,japokuwa bado heshima yangu ya uwezo wa na akili ya Malcom X ipo palepale....Yote katika yote baba yangu sio motivational speaker,sio influencer Wala politician,baba yangu ni businessman,so huwezi kuwa fananisha Hawa watu ni mafuta na maji,,,Angalau ingekuwa na Nia kweli ya Hilo swali ungeniuliza kuhusu Nyerere,Kwame Nkurumah,Mandela,Samora Machel n.k......ila Kwa vile hukuwa na hoja ukaona ngoja nimstress na that's why niliopt kukuignore,maana niliona huna uwezo wa kuhimili hoja nzito bila makasiriko kama Robert Heriel Mtibeli
 
So wewe una amini Malcolm X alikuwa smart?
 
Wewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika,kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika,hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?..hao weupe siyo wazungu wa ulaya!?..Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
Mjadala umeishia hapa.
 
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.

Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.

Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.

50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema

"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"

Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇

' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.

4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Haya , hebu jibu hoja ya 50 cent sasa, maana hao African Americans ni documented immigrants, tena wanaolipa kodi...

Na i hope hukusema wewe ni MTanzania, maana ungeliaibisha sana taifa..
 
Do smart died the way he died?.do u know what Elijah Muhammad ( the leader of the nation of Islam).said about him as soon as he was killed?
Sasa kufa kwake ni sababu ya chuki za kidini,alivyomchallange yule Muhammad na akataka kufungua msikiti ndio waislam wasio na akili wakakurupuka as usual....Sasa hapo ujinga wake ni Nini?
 
Kutumia comparison kati ya baba yangu mzazi na Malcom X niliopt kunyamaza Kwa kuwa nilijua lengo lako ni kuibua hisia zangu,ambazo kimsingi ninauwezo mkubwa wa ku control Hilo suala,
Ulikosa hoja,ukatoka nje ya mada, Anyways...Kuniuliza kuhusu baba yangu na Malcom X obviously nitachoose baba yangu ndio ana akili Kwa kuwa ni damu na mfupa wangu,kanitunza tangu nikiwa mtoto,kanilisha,kanilisha,kanisomesha kanipa upendo wote niliostahili hata nilipokosea bado aliendelea kunipenda ,Sasa kufananisha na Malcom X huko ni kunitafuta uongo,japokuwa bado heshima yangu ya uwezo wa na akili ya Malcom X ipo palepale....Yote katika yote baba yangu sio motivational speaker,sio influencer Wala politician,baba yangu ni businessman,so huwezi kuwa fananisha Hawa watu ni mafuta na maji,,,Angalau ingekuwa na Nia kweli ya Hilo swali ungeniuliza kuhusu Nyerere,Kwame Nkurumah,Mandela,Samora Machel n.k......ila Kwa vile hukuwa na hoja ukaona ngoja nimstress na that's why niliopt kukuignore,maana niliona huna uwezo wa kuhimili hoja nzito bila makasiriko kama Robert Heriel Mtibeli

Jambo Toto tundu naona unasababisha huku🏃🏃
 
Back
Top Bottom