Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali maana ananichosha ubongo na maswali yake ya kitotoMoron question, ukishaambiwa hiki ni legal na hiki ni illegal huwa unaelewa nini?
Baada ya Uingereza kupiga marufuku biashara ya utumwa, watumwa ambao bado walikuwa kwenye slave Market Zanzibar, Dr Livingston aliwanunuwa wote Kwa cash money na kuwaachia huru.Tatizo
Una maswali ya kitoto sana,
Mirungi ni legal in Kenya ,sasa consumer anayo choice atumie asitumie ni yeye,ona man poison is another man Food. Be Smart Kid.
Siyo maswali ya kitoto tu, ni mtoto pia by age ila anataka kushindana na kichwa wakati yeye ni sikio.Afadhali maana ananichosha ubongo na maswali yake ya kitoto
Unaelewa maana ya Legal na Illigal unaweza Kuta tunabishana na Mtu haelewi anachokizungumza?Eti swali la kitoto🤣🤣🤣🤣
Okay so biashara ya mirungi Kenya ni halali kwa serikali na watumiaji. Right?
Vipi kuhusu biashara ya watumwa? Ilikuwa halali kwa wahusika wote? Kuanzia wafanya biashara na wamiliki hadi watumwa wenyewe?
🤣🤣🤣 ninacho kupendea joana nikikupiga maswali yangu huwaga unakaa kwanza kama dakika 30 hivi unatafakari ndio unakuja na majibu but still bado unaacha loophole kwenye majibu yako.Nyie si mmeleta mambo ya documents and blah blah,Sasa wenzenu Babu zao waliingia na recognize documents za slave master zao.
Hataki Kusoma anasema yeye ni free thinking😜, Kuwa Free thinking haimanishi kukutaa Universal accepted Facts. 1+1 = 2, not 11Baada ya Uingereza kupiga marufuku biashara ya utumwa, watumwa ambao bado walikuwa kwenye slave Market Zanzibar, Dr Livingston aliwanunuwa wote Kwa cash money na kuwaachia huru.
Sasa kwa Nini ulijump kwenye ngono ilhali unamfahamu Mzee kifimbocheza na itikadi zake?sikutarajia hili swali Kwa mhenga unaemjua Hadi owner wa gazeti nilidhani naongea na Y2K....hebu acha ujinga ushazeeka Sasa😅Wewe Mimi nimezaliwa hujazaliwa
Zena na Betina
Road Lofa
Kipepe
Fimbocheza na Wachafuzi wa Lugha
Visa vya Madenge
Nk
Hizo katuni na simulizi nimezisoma sana zilikua kwenye Jarida la Sani mwanzilishi na Mbunifu wa Jarida hilo anaitwa Nico Mbajo RIP
Sawa sawa Lodi Lofa, SS Bawji alikua nani?Rekebisha hapo ni Lodi lofa, ukiandika Road hiyo barabara.
Halafu SS Bawji alikuwa ni nani hapo Sani?
Watu kama wewe kupata zero darasani wala si ajabu.Akili za kuambiwa unachanganya na zako. Lazima uwe na uwezo wa kujenga hoja zako Binafsi wewe kama wewe.
Tena wewe unaonekana mwanafunzi au muhitimu wa sheria.
Mwanasheria unatakiwa kuwa mtundu mtundu.
Unapaswa kuwa na reasoning.
U have to learn how to think beyond others.
Nyie ndio wanasheria ambao mkiulizwa mji mkuu wa Tanzania ni nini unasema "Dodoma" halafu hutoi sababu kwa nini Dodoma kwa nini sio Mwanza, Dar au Arusha.
Likud,tukisema serikali yako iboreshe shule na elimu yake Kwa ujumla Huwa unapiga sana promo humu jukwaani kwamba elimu Iko sawa,ndio hivi hata mambo simple ya Uraia na haki za raia,na vimambo ya historia vinakupiga chenga he mambo ya science na biashara itakuaje?Maneno mengi dada so mujibu swali . Simple like that.
Tuanze kwa neno Legal? and Illegal Definition,🤣🤣🤣 pale me profeseri anapokosa majibu ya kutetea hoja zake dhaifu
🤣🤣🤣🤣Likud,tukisema serikali yako iboreshe shule na elimu yake Kwa ujumla Huwa unapiga sana promo humu jukwaani kwamba elimu Iko sawa,ndio hivi hata mambo simple ya Uraia na haki za raia,na vimambo ya historia vinakupiga chenga he mambo ya science na biashara itakuaje?
Watu kama wewe kupata zero darasani wala si ajabu.
Umeulizwa taja mji mkuu wa Tanzania, jibu ni lake ni Dodoma, hujaambiwa ufafanuwe au explain.
Jinga kama wewe kwenye maswali 20 unaambiwa jibu matano, wewe unajibu 20 kuonesha ujuwaji wakati juu umetahadharishwa read instructions carefully, hapo unapigwa mkasi tupa Kule, ndio huu ujuwaji unaojaribu kuleta hapa wakati hujui kitu.
Stupid (In Samia voice)
Tunapongea kitu ni legal ni kwamba kinakubalika na serikali....Sasa kama serikali imeruhusu Bangi na wewe hupendi Bangi huwezi kuita Bangi ni illigal...🤣🤣🤣🤣
Nimekuuliza swali rahisi sana . Slave trade was legal to who? To slave owners and traders or to slaves ?
Badala ya kujibu swali wewe unakuja tena kutoa wosia.
Wacha kutoa wosia jibu swali.
Sijakuelewa point, basi Mimi na Sum up na wewe; According to you, Black -american ni Illegally immigrants based on Njia iliyowafikisha America,Biashara ya utumwa ilikuwa abolished mwaka 1807.
Utumwa umekomeshwa Afrika kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1950.
Nimekukataza kukariri mdogo wangu ona sasa unavyo jichoresha