Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Si ndio huyu jamaa alisema Jiwe ni mzima anapiga kazi ofisini, wakati mtu alishakata moto?

Bado mnamuamini?
 
Huyu naye ovyo tu. Baadala aombe uchunguzi ufanyike, yeye anawatafuta wistleblowers.
 
Bunge linasimamia
 
Spika ameongea kitu cha maana sana. watu kama Tito Magoti, Maria Sarungi, Ole Ngurumo na type zake zooote hizo, wanaichafua sana nchi na wanatamani hata Masai mmoja tu afe ili wapate cha kuongea. Wadhibitiwe mapema, sio afya kwa taifa.

Tatizo mnataka wote waimbe wimbo mmoja. Yani ukweli ufichwe kwa maslahi ya wachache. Ruhusuni na wengine waeelezee Hali ya mambo ilivyo.
 
Safi sana tuna spika msomi na anayekwanda sambamba na maendeleo ya nchi yake, Maria aitwe apewe onyo maana anakoelekea ni kubaya.

Spika yupi huyo? Huyu aliyesema sio lazima serikali itekeleze ushauri wa Bunge. Sasa huwa najiuliza hiyo bajeti wanaijadili ya Nini?.
 

Ndio mlichobakiza. Kutengeneza katuni za kujifurahisha.
 
Wakati Magufuli anawapuuza hao wajinga, nyie mlikuwa mnakata viuno humu mkimuita dikteta na mshamba!

Ngoja sasa waanze kuwatia vidole kwenye macho ndio mtajua hamjui.

Tuondolee Magufuli wako hapa.
 
Wakati wa Kifo cha Magu alitudanganya hivihivi
 
Waziri mkuu haaminiki tena toka alipolidanya taifa kuhusu ugonjwa kuugua kwa JPM akidai ni mzima wakati mtu kafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ