SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Si ndio huyu jamaa alisema Jiwe ni mzima anapiga kazi ofisini, wakati mtu alishakata moto?Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Loliondo na Ngorongoro kote hali ni shwari kabisa na hizo clip zinazoonekana mitandaoni wamasai wakirusha mishale siyo HALISI ni uzushi na usanii tu.
Kufuatia taarifa hiyo Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu kuwashughulikia wahuni wote wanaorusha hizo clip
Source Star tv bungeni
Bado mnamuamini?