Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Wamasai hawana hela?
Kwani Wamasai hawana watoto walipenda shule?
Kwani Wamasai wa karne hii ni kama wa kipindi kile cha ujima?
Wamasai wanaoishi Ngorongoro hawajatengwa na ulimwengu! Wanajua kile wengine wanachokifanya huko duniani linapokuja suala la kudai haki.
 
Wamasai wanamiliki mamia ya ng'ombe wanashindwa kuuza waprint kutetea ardhi yao au wamasai wote hawana exposure!?
 

Kwani ni kosa kwa wamaasi kuwapa kazi wanasheria kuwatetea? Kwahiyo ulitaka wakae kimya haki yao ikinyimwa kwakuwa unahisi hawana uelewa na hawana haki ya kutetewa na wasomi?
 
Ni muda sahihi sasa wa sisi kama watanzania kuamka na kuzidai haki zetu maana kutoka kwa mabepari wa kiafrica.Nsipopost kwa siku mbili mfululizo mjue na mimi washanbeba maana ukisema lolote siku hizi unakwenda na maji.Hii nchi imekuwa kama jehanamu
Naamini kwa dhati ya moyo wangu kwamba hatimaye waTanzania wataelewa kinacho endelea sasa hivi na hii serikali ya huyu mwanamke.
 
Ntamuona Mzalendo. Wa kweli akiwapigania na hawa... Vinginevyo ni wale wale machawa.... 😁
Kuwapigania wanyonge ndo kulimletea shida...
Atakaa kimya tu Sasa. Hakuna namna.
 
Ntamuona Mzalendo. Wa kweli akiwapigania na hawa... Vinginevyo ni wale wale machawa.... 😁
Huyo unaye muita "mzalendo wa kweli" kapelekwa hapo kimkakati, hivi wewe hujui?

Kama unataka kujua 'uzalendo' ni kitu gani, basi subiri mtihani huu utakupa jibu.
Haya mambo ya "uzalendo" wa kuigiza yana mwisho wake.
 
Kila mara ninapo kwambia wewe ni kondoo tu; siku moja jaribu kujichunguza vizuri utauona ukweli huo.
 
Wasio na nia njema wameanza kutumia hoja za waarabu na uarabu kumshambulia Rais wa nchi.....

Ni mipango mahsusi....

Mipango kama hii si ya kuichekea hata kidogo......

#Nchi Kwanza[emoji7]
Unataka akatafute jeshi huko aje kuwapa adabu waTanzania?
 
Nliwahi kumwambia mmasai mmoja kutoka huko, hii system ya sahv lazima mtatolewa

Ova
 
Kuna wahuni wamechapisha hayo mabango Wala hao wamasai hawajui kilichoandikwa humo

Inawezekana mwandishi akawa yule bibi kezee ajuza wa space maana handwriting ni moja
 
Hapo kujisumbua tu, Zile Hela ni nyingi jamani 😂😂 narudia tena ni nyingi. Imagine kwa kazi tu ya kuweka mipaka ya lile eneo lililolipiwa watu. walinzi zaidi ya 500 walilipwa si chini ya mil 2.5 kuanzia mgambo Hadi hao wote unaowajua. 😥😥 Hao ni walinzi bado Hawa wazalendo wetu na gharama za kuwahamishia Huko Msomera.
Magufuli alikua na mapungufu yake lakini aliliweka pembeni hili. Wajanja wamelirudisha 😂😂
Katiba! katiba! katiba!
 
Iringa kabila ni Moja tu na hakunaga mjinga mjinga anaweza karibia tuko very powerful [emoji23][emoji23][emoji23]

Karibu Kilolo [emoji3]
Ukabila na siasa zake na majivuno yake hupelekea utengano MIOYONI....nakutania jonijo[emoji1787]
 
Mnakumbuka Wanyamulenge waliponyimwa Haki zao za kiraia na kuanza kuuwawa kunyanyaswa na kupokwa Mifugo yao?
Usipindishe mambo. Wanyamlenge wenyewe wanataka waonekane kuwa tofauti na raia wengine wa nchi hiyo, kama walivyo ndugu zao huko Rwanda. Hili ni tatizo kila mnapo kwenda na kuanza kuwa kama kundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…