GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwani Wamasai hawana hela?Hayo mabango sio ya wafugaji wa Kimaasai hiyo ni kazi ya large format printing kijijini Ngorongoro itoke wapi?!, hii maana yake kuna nguvu fulani behind the scenes inayowachochea hawa wamasai na sio Wamasai wenyewe tuu peke yao, na large format printing cost money, hivyo kuna watu wana fund!, ukisikia kitu kinaitwa fuelling ndio huku!.
P
Kwani Wamasai hawana watoto walipenda shule?
Kwani Wamasai wa karne hii ni kama wa kipindi kile cha ujima?
Wamasai wanaoishi Ngorongoro hawajatengwa na ulimwengu! Wanajua kile wengine wanachokifanya huko duniani linapokuja suala la kudai haki.