Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Ngoja nicheke kidogo; bwahabwahabwahabwahaaaa!!

Vp nawe mkuu, alikujibu wewe mbona umelipuka ghafla tena kwa hasira kuu?!!!! Mfupa mgumu nini'?!!!!
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Wengine tunatamani tuseme hivyo mkuu lakini tunaogopwa kutukanwa na chadema (nyumbu) wa humu 'wanaochukua nchi' mwaka huu wa 2025. Nilikuwa wilaya ya liwale, Ruangwa, tunduru na songea hii miezi miwili........haki ya Mungu watu wapo na habari zao za mbaazi, ufuta na korosho tu. Sijawahi tu kuona serious discussions za siasa hata kidogo.

Nipo dar hapa, watu Huku mtaani wanavyokimbizana na utafutaji wa mafekeche.......acha kabisa. Ila ukija humu jf, utaambiwa watu wote ni chadema na wanamlilia lissu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Iko hivi, baaado sana!!
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Usichokijua ni kwamba watz wengi wamesoma na wanamiliki simu janja. Lakini ujue pia mitandao ya kijamii ipo mingi na watu wanapeana habari kupitia huko. Je ushawishi wa hao unaosema wachache kwa ndugu, jamaa, familia na marafiki zao unaujua!? Ukweli utatuweka huru, HAKI huinua Taifa. Kwa mtu au chama anayefanya vizuri na kutenda HAKI kwenye medani ya siasa hana haja ya kuwa na hofu kuwasikiliza na wengine wanasemaje. Tukae chini kama nchi tuweke KATIBA, SHERIA na KANUNI zetu za kuendesha maisha na Taifa vizuri ili kila mmoja awajibike kwa kutokuziheshimu.
 
Mshana bado una inamani na mambo ya kuuzika? Hivi kuna kuuzika tena siku hizi au tunaanua tu nani akae?.
 
G55 inakuja tena baada ya bunge kuvunjwa. Moto wake utarejesha marekebisho ya sheria za uchaguzi.
Bunge likishavunjwa, huo muswada utapelekwa mahakamani ukapitishwe? Au itatimika Presidential decree.?
You are not serious
 
vita interesting, adui wa leo alikuwa upande wa adui wa leo kabla ya mapinduzi anazijua mbinu zote kwa maana alikuwa upande wa adui (yake) wa leo, leo hii kageuka adui lkn mbinu ni zile zile kama ukiangalia patterns ambazo hata yeye adui wa leo alikuwa sehemu yake kabla ya mapinduzi, mnawezaje kumshinda? mnaota kwa maoni yangu labda kama mtabadilisha mbinu, lkn hakuna hiyo dalili kwani ukiangalia patterns unaona hamna tofauti, saanane vs nyagali, maria kutekwa vs dewji kutekwa, maaskofu ni wale wale majina yale yale, warioba ni yule yule lkn above all muslims and i mean all of them hawatakubali mtoto wao aangamie, privillege ambayo adui wa kabla ya mapinduzi masikini ya Mungu hakuwa nayo, vita ngumu, tena sana …
 
kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
Chawa kama chawa ,umekuja na hsira utadhani umeona jina la boss wako kwenye andiko
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Tena unakuta mshana jr na erythrocytes Wana ID kumi kumi
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
mkuu mbona serikali inasema ikiendesha kesi kwa njia ya mtandao itawafikia watu wengi zaidi kuliko pale mahakamani

kwamba wanatudanganya mtandaoni hakuna watu wengi
 
Kwa hiyo nini ushauri wako mkuu?
 
Kwa kweli sisi wananchi hatuna furaha kutokana na hali ilivyo katika nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
 
On point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…