Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Hivi kati ya professional Tibaijuka,Jaji Walioba vs Pasco Mayalla nani Kilaza.

Mda huwa mwalimu mzuri sana.Pasco pole sana.
Ulishajichanganya sana.
Sema tu,umebaki kuunga unga.Uchawa na Taaluma ni kama maji na Mafuta.
Done aibu basi.
 
View attachment 3324261
asitiwe hila
 
Tufanye ni kweli mitandao ina nguvu.

Lakini je,tunaweza kuandamana,ili kufikisha ujumbe Kwa wahusika?

Au sisi ni keyboard warriors tu
Hii hatua kwa hali iliyopo--- muda bado - sijaona kichocheo
 

Jifunze kujenga hoja
 
Yawezekana tukawa keyboard warriors hiyo ni kweli .

Ila Mimi siwezi kuwabeza chadema kuhusu wao kukubalika mitandaoni kwakuwa mitandaoni wanaoitumia ndo hao hao wapo mitaani .

Ni hoja dhaifu Sana kusema kuwa mtandaoni kuna kakikundi ka watu
Mkuu, huyo mkuu kunakitu kasahau tuu maana hata vyombo vya dola vyenyewe havijawahi beza nguvu za hoja za mtandaoni.
Mfano mzuri ni Waziri wa mambo ya ndani kuita press kwa ajili ya waraka feki ambao umetrend mitandaon.

Mtandaoni kungekuwa weak kias hicho asingefanya hivo.
Pili ajiulize maandamano ya juzi hapo kwa kwa mzee Samora yalianzia wapi?
 
kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
The guilty are afraid...! James Hadley Chase ...!
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Sijui kwanini umeamua kwa makusudi kabisa kupotosha na ku underestimate nguvu ya mitandao ya kijamiii.. Sijui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…