Makasiriko ya kutokuwa na hela yamekuwa meengi nJaanuaryHahaha
Kataa ndoa, single mothers, English median schools....
Kanyaga twende!!!!
What next????
Tunasubiri....
Ila Tanzanians tupige kazi jamani, kila mtu Kwa nafasi yake...
Aina za posts tu zinasadifu kinachoendelea nchini.
Ukata ukizidi sana ndio wanawahamishia Kayumba,uchumi kama upo stable siwezi kumpeleka shimoni mtoto wangu.Wazazi wanao somesha Ems asilimia kubwa ni masikini, ukata wapo nao siku zote. Ni kwamba wamefunguka tu akili
Wazazi wa Ems husomesha watoto shule hizo ili kuwaandaa na sekondari Sasa sekondari ndio watoto wanaanza kusomea kufuga nyuki na kupiga magitaa.Hakuna namna ambayo Mitaala iliyoboreshwa itaathiri shule za English medium... Sana sana English medium schools zina nafasi kubwa ya kutekeleza Mitaala iliyoboreshwa kuliko Shule za serikali...
Ukisoma vizuri mabadiriko ya Mitaala iliyoboreshwa Shule za sekondari ndizo zimeonekana kutakiwa kutekeleza Mitaala ya Ufundi au Elimu ya jumla kwa vitendo zaidi...
Tafuteni sababu nyingine za kushindwa kuwalipia ada na kuwahamishia watoto wenu Shule za kata...
Wenye uchumi stable wanasomesha watoto shule za International ambazo zinafuata mtaala wa Cambridge.Ukata ukizidi sana ndio wanawahamishia Kayumba,uchumi kama upo stable siwezi kumpeleka shimoni mtoto wangu.
Kwa kuwa.uchumi upo ICU hakuna namna lazima wawahamishie huko ili mtoto asikose vyote
Wengi husingizia mitaala mipya ila ukweli uchjmi umeumba walikua wanatafuta kizinginzio wawaondowe huko, take my words ni wanasiasa na wafanya biashara wakibwa ndo watabakiza watoto EMs wage earners wanaumia sanaa 2m to 4m kwa kila mwaka sio mchezo.Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Tatizo unawaonea wivu wazazi wanaosomesha Kayumba. 🤣🤣🤣🤣wenzako wanasomesha bila stress wewe unaenda kukopa vikoba watoto wasome halafu ndio umetoka kulipa ada Jumamosi lazima ujisikie Vibaya.Nonsense zimeanza
Kusomesha Em ndio utajiri?itoshe kusema umasikini ni kitu kibaya sana...
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Okay.....Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao
Kwahio hakuna faida ya elimu alafu wajifunze hayo unayosema wajifunze ? Yaani ni kama unasema sababu nyumba cha maana ni kuta nne sakafu na paa basi achana na msingi jenga nyumba hewani....kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
100% Fact kila siku nawaambiaga hapa msiige kunya kwa Tembo mtapasuka msamba.Wengi husingizia mitaala mipya ila ukweli uchjmi umeumba walikua wanatafuta kizinginzio wawaondowe huko, take my words ni wanasiasa na wafanya biashara wakibwa ndo watabakiza watoto EMs wage earners wanaumia sanaa 2m to 4m kwa kila mwaka sio mchezo.
Kuna mahali unaumia ukiona mtu anahangaika kusomesha EMs? Kama ndivyo, nini kinafanya uumie mtu mwingine kusomesha watoto anapojisikia?Wenye uchumi stable wanasomesha watoto shule za International ambazo zinafuata mtaala wa Cambridge.
Wewe unaesomesha Ems ada milioni 2 ni masikini sawa na anae somesha Kayumba ila tofauti ni kwamba wewe unalipishwa kitu ambacho mwenzako anapewa bure.
So hapo fala unakuwa Wewe. Demu yule yule mie ananipa bure ila wewe mpaka umpe hela