It is a national campaign hadi waziri wa Elimu ana tuunga mkono.MAKAGA(Make Kayumba Great Again) mnapambana kweli kweli.
Hakulipia hata senti 5Yeye mwenyewe Nyerere alisoma shule English medium akili za kuambiwa changanya na za kwako
wanawatoa huko so kwa sababu ya mtaala, ila kwa sababu hawawezi kulipa ada. watoto wa english medium hawa wengi wakimaliza la saba uwezo wao wa akili unawazidi walimu wengi tu wa kayumba tena wenye degree kabisa. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Alilipa hakuna shule English Medium wakati wa ukoloni iliyosomesha mtoto bure walilipa adaHakulipia hata senti 5
Mjinga huyo mleta mada
English medium hufundisha mitaala ya NECTA ikibadlilika na wao wanabadilika
Sema mleta mada mshsmba fulani wa maporini huko kasoma porini huko.hans exposure na shule za English medium na hajui lolote zaidi ya kujua hizo shule za kayumba za wabeba mifagio.na vidumu
Msamehe bure tu
Hasira za nini, si uweke tu hapa nasi tusome.Acha uvivu nenda kausome mwenyewe unataka kutafuniwa kila kitu kama mtoto wa EM bana acha utoto mkuu
Wanawatoa Ems Kwa sababu wamejanjaruka Sio Kwa sababu ya ukata Kwa sababu wazazi wengi wanao somesha Ems ni masikini wanao jidunduliza na kujibana kusomesha Huko. Hawajawaigi kuwa na hela. Wenye hela wanasomesha Shule za International ambazo hufuata mtaala wa Cambridge wanalipa dola elfu 30 Kwa mwaka.wanawatoa huko so kwa sababu ya mtaala, ila kwa sababu hawawezi kulipa ada. watoto wa english medium hawa wengi wakimaliza la saba uwezo wao wa akili unawazidi walimu wengi tu wa kayumba tena wenye degree kabisa. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.
Hakukuwa na alternativeAlilipa hakuna shule English Medium wakati wa ukoloni iliyosomesha mtoto bure walilipa ada
Hakusoma bure
Bure alisoma vyuo.vikuu kwa scholarship sio primary English medium
Sio Kweli Kwa sababu.Kumbe Magufuli alisingiziwa mengi sanaa.. Maana wakati wake wazazi walidai kaleta ukata hawamudu ada za EMs na leo Mama yupo wanadai tena wanahamisha watoto wao sababu ya ukata.. Hawamudu EMs..
Si wazazi tu mzazi akitaka kujua watoto wa kayumba hawataki hizo shule hata wawe maskini vipi.Mzazi amuulize mtoto mwenyewe kuwa shule ungependa kusoma kati ya English Medium na Kayumba kama ukiambiwa uchague.Asilimia kubwa watajibu English medium. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.
Mnalea watoto wa kike vibaya… Ni mpaka wapige simu kwa Ismail, Meshaki na Kefa ndio wapate hela?Wenzako wanatafuta hela kihalali mkuu. Wewe ukipiga simu Kwa Juma, Dullah, Kelvin na Emma hela lazima ipatikane.
Nadhani umekurupuka bila kujua hasa sababu ya wazazi kuwatoa watoto EMs kwenda kayumba.Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Kuna mzee huku kijana wake kamaliza form four na ufaulu mzuri tu lakin kaamua kuwa na huyo dogo kwenye duka la ujenziMwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
Mtoto wa kike wa kitanzania anatoaga hela Yake kulipia anasa?Mnalea watoto wa kike vibaya… Ni mpaka wapige simu kwa Ismail, Meshaki na Kefa ndio wapate hela?
Maneno yako ni reflection ya ulivyo na mitazamo yako at large!
Unaona amezuga tu hapo, ujue hakina kituMtaala mpya unaathiri vipi hizo shule za EMs?
Very loud and wrong… Ama kweli over confidence na ujinga ni ndugu.Mtoto wa kike wa kitanzania anatoaga hela Yake kulipia anasa?
Mtoto wa kike wa kitanzania hutumia hela ya mwanaume kufanya anasa.
Kila siku unapandaga daladala Lakini nikikuita utataka nilipe tax.
Unaweza kukaa kwenye chumba kimoja kimara lakini ukiwa na Mimi utataka nikulipie nyumba nzima sinza.
Huwezi toa hela yako mfukoni ulimpie mtoto wako Ems usitufanye mafala tusio wajua wanawake.
Nawajua wanawake utasema Mimi ndio nimewaumba vile
Kwa utandawazi ukiopo sasa ambapo kwa sasa dunia ni kijijiHakukuwa na alternative