Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
wanawatoa huko so kwa sababu ya mtaala, ila kwa sababu hawawezi kulipa ada. watoto wa english medium hawa wengi wakimaliza la saba uwezo wao wa akili unawazidi walimu wengi tu wa kayumba tena wenye degree kabisa. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.
 
Mjinga huyo mleta mada

English medium hufundisha mitaala ya NECTA ikibadlilika na wao wanabadilika

Sasa huoni kwamba hizo Ems nazo ni Public Schools tu zenye majengo ya private. Kama zingekuwa private kwanini NECTA wakibadilisha mtaala na zenyewe zibadilishe.

Yani mtu na akili zako timamu kabisa unaenda kulipa hela yako kulipia shule inayo fundisha Kwa mtaala wa NECTA? 🤣🤣🤣🤣
Sema mleta mada mshsmba fulani wa maporini huko kasoma porini huko.hans exposure na shule za English medium na hajui lolote zaidi ya kujua hizo shule za kayumba za wabeba mifagio.na vidumu

Wewe ndio mshamba ndio maana unapigwa na wamiliki wa Ems. Unalipia hewa. Mwenzako Sio fala ndio maana kaona hawezi kupigwa kiboya.
Msamehe bure tu
 
wanawatoa huko so kwa sababu ya mtaala, ila kwa sababu hawawezi kulipa ada. watoto wa english medium hawa wengi wakimaliza la saba uwezo wao wa akili unawazidi walimu wengi tu wa kayumba tena wenye degree kabisa. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.
Wanawatoa Ems Kwa sababu wamejanjaruka Sio Kwa sababu ya ukata Kwa sababu wazazi wengi wanao somesha Ems ni masikini wanao jidunduliza na kujibana kusomesha Huko. Hawajawaigi kuwa na hela. Wenye hela wanasomesha Shule za International ambazo hufuata mtaala wa Cambridge wanalipa dola elfu 30 Kwa mwaka.

Hizi ems ada milioni moja na laki 2 inalipa Kwa four installments hata bodaboda anasomesha
 
Kumbe Magufuli alisingiziwa mengi sanaa.. Maana wakati wake wazazi walidai kaleta ukata hawamudu ada za EMs na leo Mama yupo wanadai tena wanahamisha watoto wao sababu ya ukata.. Hawamudu EMs..

Itoshe kusema wazazi wengi wanaopeleka watoto EMs ni wa kipato na elimu duni kwa pamoja. Na kuna wanao peleka watoto hata mtaala hawajauona na hawajafanya Udadisi wa kutosha ila kufuata mkumbo Elimu ni zaidi ya EMs na huanzia nyumbani.
 
Kumbe Magufuli alisingiziwa mengi sanaa.. Maana wakati wake wazazi walidai kaleta ukata hawamudu ada za EMs na leo Mama yupo wanadai tena wanahamisha watoto wao sababu ya ukata.. Hawamudu EMs..
Sio Kweli Kwa sababu.

Wazazi wengi wanao somesha Ems ni masikini wanao jidunduliza.

Kilicho tokea ni kwamba wazazi wamejanjaruka wameona wanapoteza hela zao bure.
 
. kwa wazazi wenye akili, huwezi kukubali mtoto wako akasome shule ya kidumu, bora ule vibaya ila mtoto asome.
Si wazazi tu mzazi akitaka kujua watoto wa kayumba hawataki hizo shule hata wawe maskini vipi.Mzazi amuulize mtoto mwenyewe kuwa shule ungependa kusoma kati ya English Medium na Kayumba kama ukiambiwa uchague.Asilimia kubwa watajibu English medium

Na hata ukimwambia kuwa uko tayari tujibane tule vibaya na kulala pabaya ukasome hizo shule za English medium wengi watasema wako tayari

Huyu mleta mada anakomaa na ujinga wake kutetea kayumba yeye ni kama lofa na dictator mkubwa kuburuza watoto.kuwa lazima wasome kayumba

Awaulize wenyewe watoto nini wanataka kusoma kayumba au English medium? Sio kuwaburuza tu

Wazazi wanaojibana kuosomesha English medium watoto wameongea na watoto pia kujua nini wanataka kuwa hawataki kayumba wanataka English Medium
 
Wenzako wanatafuta hela kihalali mkuu. Wewe ukipiga simu Kwa Juma, Dullah, Kelvin na Emma hela lazima ipatikane.
Mnalea watoto wa kike vibaya… Ni mpaka wapige simu kwa Ismail, Meshaki na Kefa ndio wapate hela?

Maneno yako ni reflection ya ulivyo na mitazamo yako at large!
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Nadhani umekurupuka bila kujua hasa sababu ya wazazi kuwatoa watoto EMs kwenda kayumba.
Sababu sio mtaala mpya Mzee
 
Mnalea watoto wa kike vibaya… Ni mpaka wapige simu kwa Ismail, Meshaki na Kefa ndio wapate hela?

Maneno yako ni reflection ya ulivyo na mitazamo yako at large!
Mtoto wa kike wa kitanzania anatoaga hela Yake kulipia anasa?

Mtoto wa kike wa kitanzania hutumia hela ya mwanaume kufanya anasa.

Kila siku unapandaga daladala Lakini nikikuita utataka nilipe tax.

Unaweza kukaa kwenye chumba kimoja kimara lakini ukiwa na Mimi utataka nikulipie nyumba nzima sinza.

Huwezi toa hela yako mfukoni ulimpie mtoto wako Ems usitufanye mafala tusio wajua wanawake.

Nawajua wanawake utasema Mimi ndio nimewaumba vile
 
Very loud and wrong… Ama kweli over confidence na ujinga ni ndugu.

Unaongea mambo kwa jumla jumla tu huoni aibu mkubwa mzima.
 
Hakukuwa na alternative
Kwa utandawazi ukiopo sasa ambapo kwa sasa dunia ni kijiji
Mzazi kumwamuru mtoto.wake kidikteta kuwa lazima amsomeshe shule za swahili medium hata kama ana uwezo wa kujinyimma na kujibana asomeshe mzazi huyo anakuwa si tu hana akili anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa mirembe
Kama mtu ana kauwezo ka kujinyima na kujibana apeleke mtoto English medium

Watoto kule wanafaulu sana kigezo kimojawapo ni sababu ndizo shule wanapenda toka moyoni mwao sio tu wamesukumizwa na wazazi.Ni kipenzi cha mioyo yao hivyo wanakuwa na bidii kwanza kwa kupenda pili kuepuka lawama ya mzazi kufokewa kuwa ohh najinyima usome halafu unafeli

Dunia ya sasa sio ya kipindi cha Nyerere cha uswahili swahili yeye mwenyewe baadaye alikiri akasema kiingereza ni kiswahili cha dunia
 
Back
Top Bottom