Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Aliyemroga pedeshee Makala anaweza sana apewe maua yake tu
 
mkigoma sim mnafutiwa leseni nyie nyau tuone mnaenda kula wapi. Mnalipaga kodi gani nyie, daladala moja haiwezi kulipa kodi hata ya mwalimu wa shule ya msingi ya mwezi moja kwa mwaka mzima.
KWamba daladala ina kodi nafuu kuliko kodi ya mwalimu wa shule ya msingi??:
 
Wamiliki wa bar hawana hoja za maana! Noise pollution ni tatizo kubwa lenye madhara makubwa kwa binadamu. NEMC wamepiga marufuku lakini still bar wanapiga BAND saa saba za usiku na speaker zenyewe zinapaza balaa. Pia NEMC wanatekeleza malalamiko ya raia wengi wanaokumbwa na madhara ya makelele ya Bar.
 
Ndo wanagoma sasa.
Pelekeni gari za maji washa wakome au siyo?
 
Migomo imefunguka sasa!! Watu wana mengi vifuani mwao! Bado watumishi wa umma!
Watumishi wa umma kugoma sio rahisi na sahau kabisa . Hizo kazi za umma wengine wanatumia hadi ndumba kuzipata akishapata anatengeneza mijrija ya kuiba akiwa kazini ndo inakuwa imetoka . Mtu ana mirija yake ya wizi kazini halafu umwambie agome !!! Hawezi kukuelewa.
 

Ripoti ya CAG haishawishi kulipa kodi.
 
Pale windhoek Namibia ukisikia kelele hata za Birthday kwa jirani unapiga simu 911 haraka sana alafu unalala asubuhi utapata report Birthday boy/girl ameamkia jela.
 
Kwa hiyo kariakoo kamata kamata ya wslioshadidia mgomo imeshaanza?

Mpo vyedi kwenye mtaala wa shetani🤣
Hapana hakuna kitu kama hicho ila hao wa Mwanza za kuambiwa na Chadema wachanganye na za kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…