Tetesi: Wamiliki wa Bar na Hotel Jijini Mwanza Kuanza mgomo kesho, Mei 22, 2023

Mdau upo windhoek daaah wasalimie swakopmund hahah
Hahah huko Swakop mbali ni coast kabisa jangwa linakutana na bahari nishaenda mara moja, ila Windoek nimeenda mara kadhaa, kwa sasa nipo TZ kulikuwa kunalipa wakati wa nyuma
 
NEMC njooni na Mbeya hasa hapa Mbeya pazuri upande wa bendi na kwa Mwailubi,watu hatulali kwa kelele
 
Afadhali wagome angalau tupate kulala tumechoka na makelele yao
 
Hapo umenena
Sheria nyingi zinapitishwa kutokana na matukio, tena bila kalamu yaani kwa mdomo tu

Unamkuta PM anasema hili, waziri husika atalopoka hili na hata mkuu wa mkoa anakuja na lake akiwa kashika [emoji441]

Basi tuna safari ndefu na ndio maana hata waizi wa mali za umma huwa wanabadilishwa tu au baadhi kwa kujionyesha utasikia kawekwa pembeni au kwa lugha ya kejeli WATUPISHE
 
Hahah huko Swakop mbali ni coast kabisa jangwa linakutana na bahari nishaenda mara moja, ila Windoek nimeenda mara kadhaa, kwa sasa nipo TZ kulikuwa kunalipa wakati wa nyuma
Windhoek maeneo gani umefika olimpia, havana, au big bend kwa wahuni
 
Windhoek maeneo gani umefika olimpia, havana, au big bend kwa wahuni
Hahahaha ulienda kufanya nini windhoek we mzee, nilikua Natulia zangu sehemu inaitwa WANAHEDA huko big ben uswahilini sana swekeni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdau upo windhoek daaah wasalimie swakopmund hahah
MIe anisaidie kuwasalimia hapo walvis bay ,Omaruru!, Rundu , okahandla otavi....
Namibia kuna usalama sana ni vile tu hawana popolation kubwa ya ku accomodate kila mtu.
 
Wangelenga wakati wa mikutano au sherehe mwanza waheshimiwa wangelala uswekeni, wangekula kwa mama put put
 
Hafadhali mifuko yetu ipone kidogo
 
Sheria ya mazingira ilipitishwa tangu mwaka 2004 na hicho kipengere kilikuwepo, kinachofanyika sasa ni kusimamia sheria tu. Kiukweli kuna baadhi ya maeneo ya starehe tena yapo katikati ya makazi ya watu wanapiga miziki kwa sauti kubwa sana, mbaya zaidi wanakesha. Serikali iwasikilize lakini na wenyewe wajitathmini.
 
Huu ni upumbavu sasa, wazingatie sheria.
Haya malalamiko yao ni ya kijinga.
 
Hahahaha ulienda kufanya nini windhoek we mzee, nilikua Natulia zangu sehemu inaitwa WANAHEDA huko big ben uswahilini sana swekeni [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo dom nilienda huko kwa ajili ya training ya kilimo cha zabibu wale watu wanalima zabibu laaana chali yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…