Wamiliki wa BMW Shikamooni

Huwa tunawaangalia tu wanaosema bei yake ni milioni kadhaa tu. Kununua na kuihudumia ni mbingu na ardhi.
 
Kuinunua Sio tatizo ,tatizo linakuja katika huduma yake Kama una hela za madafu utapaki hyo gar aiseee nililiuza nikarudi katika gar za kawaida kabisa sikutaka mashindano ya magar .na jamaa niliye muuzia anataman ampate mtu Ila ndio Kesha weka mktaba teyar Mana anajua shughuri yake

kilicho akilini kitumie
 
Hizo BMW mnazonunuaga hazinaga warranty?
Mkuu unaleta utani? Hizi kelele na malalamiko ni za watu wanaonunua magari ya 2002-2006 halafu wanayaita mapya na kutegemea yasiwasumbue.

Huwa nawaambia haya magari huwa yakifikisha 10yrs au 100,000km ndio muda wa kubadilisha vitu vingi. Muda huu ukifika wazungu na wajapan wanatusukumia sisi.

Bongo mtu anaagiza used car ya 2002 anajisifu kaleta gari mpya.
 

Okay. Hapo nimekupata.

Maana nijuavyo mimi warranty ya BMW ni miaka minne [4] au 50,000 miles, whichever comes first.

Pia, baada ya hapo mtu unaweza kununua ‘extended warranty’.

Kwa scenario uliyoielezea hapo, sijui kama hiyo extended warranty inaweza kufanya kazi.

Bongo extended warranties zipo?
 
Wanaouza brand new cars wanatoa warranty miaka 3 hivi. Trust me wateja hapa bongo can't wait warranty ziishe waachane na hao dealers. Ni vituko
 
Kuna nchi ukienda hizi unazoziita third world haya magari yapo kibao na wala sio ishu maana hata mwalimu anayeanza kazi mwaka jana anamiliki.

Unaona hapa Dar unapohesabu magari tofauti na Toyota nchi zingine za third world Toyata ndiyo unazihesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…