Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #201
Huku Bush kunajamaa ni mjeda anasukuma BMW black colour aisee!!
Sijui wengine tunakwama wapi
Wajeda kawaida....wanakula rushwa balaa hao..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Bush kunajamaa ni mjeda anasukuma BMW black colour aisee!!
Sijui wengine tunakwama wapi
Shida ni kuihudumia. Engine oil lita moja elfu thelathiniMkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
Huwa tunawaangalia tu wanaosema bei yake ni milioni kadhaa tu. Kununua na kuihudumia ni mbingu na ardhi.Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.
Akikujibu nitag
Mkuu unaleta utani? Hizi kelele na malalamiko ni za watu wanaonunua magari ya 2002-2006 halafu wanayaita mapya na kutegemea yasiwasumbue.Hizo BMW mnazonunuaga hazinaga warranty?
Mkuu unaleta utani? Hizi kelele na malalamiko ni za watu wanaonunua magari ya 2002-2006 halafu wanayaita mapya na kutegemea yasiwasumbue.
Huwa nawaambia haya magari huwa yakifikisha 10yrs au 100,000km ndio muda wa kubadilisha vitu vingi. Muda huu ukifika wazungu na wajapan wanatusukumia sisi.
Bongo mtu anaagiza used car ya 2002 anajisifu kaleta gari mpya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sas si bora nyie wenye passo wengine tunamiliki baiskel kamongo sijui unaijua??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaouza brand new cars wanatoa warranty miaka 3 hivi. Trust me wateja hapa bongo can't wait warranty ziishe waachane na hao dealers. Ni vitukoOkay. Hapo nimekupata.
Maana nijuavyo mimi warranty ya BMW ni miaka minne [4] au 50,000 miles, whichever comes first.
Pia, baada ya hapo mtu unaweza kununua ‘extended warranty’.
Kwa scenario uliyoielezea hapo, sijui kama hiyo extended warranty inaweza kufanya kazi.
Bongo extended warranties zipo?
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]hizi gari zina heshima yake jamani acheni tu
Jr[emoji769]
Kuna gari ya kupanda na gari ya kudumbukia,
Range Lover utakuwa wa kwanza kuwa na hilo gari naona.
Ila kuna gari linaitwa Range Rover.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumemezea mengine tunashindwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke tuu, mkuu vingine mezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi ukienda hizi unazoziita third world haya magari yapo kibao na wala sio ishu maana hata mwalimu anayeanza kazi mwaka jana anamiliki.BMW ni afadhali kiasi fulani
Mercedec Benz ipo higher end zaidi
Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!
BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!
Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!
Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!