cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]23. TV za chogo
24. Chaneli zinabadilishiwa reception
25. Lodge kuna paka
26.Sabuni za mche unakatika kakipande
27. Mwisho saa nne kukaa chumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]23. TV za chogo
24. Chaneli zinabadilishiwa reception
25. Lodge kuna paka
26.Sabuni za mche unakatika kakipande
27. Mwisho saa nne kukaa chumbani
Bora kuibiwa kuliko kuzinduka hauna mshipa wa taarabu.12. Bed sheet jeupee, godoro limechakaa na limevunda
13. Makahaba wanaruhusiwa kiholela kuja kusumbua wateja, Jambo linaloweza kuhatarisha usalama wa mteja na Mali zake.
14. Kibao Cha Lodge kimeandikwa kuna breakfast na TV lakini hakuna kitu.
15. Kiti Ni kibovu, unakikalia unajikuta umeanguka kwa kisogo, unazirai ukija kuzinduka umeibiwa kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna lodge nililala Kakola Shinyanga eeeh bwana chumbani aliingia yule mdudu mweusi kama mpanzi.
Huyo mdudu Kelele zake zinatakiwa azipigie nje kwenye uwazi sio chumbani aisee triiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiìiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiìi usiku kucha sauti yake nilikuwa naisikia kwenye ngoma ya sikio.
Niliamka kichwa kinaniuma Asubuhi, mawazo yangu nilijua mdudu yuko nje ya dirisha. Wakati navaa viatu nikamwona aisee nilimkanyaga kwa hasira.
Sio poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Ukifanya hivyo wataojielewa tu ndo watakuja, wasiojielewa hutawaona
Umelipa 35k to 50k hata TV tu haionyeshe...Hatari sn16. Vyoo vya kukaa vichafu
17. Kondom hamna
18. Mashuka hayafuliwi hata siku tatu
19. Sabuni ya kuogea hamna
20. Uvundo kama wote vyumbani
21. Maji hakuna
Kuna siku niliingia lodge saa kumi na mbili asubuhi [emoji2][emoji2] tena nikamkazia mtu wa reception hii mpaka kesho saa nne. Kuja bosi kamnunia dadeki zake anasema mbona mteja kakaa sana.Hiv hii kwann iko hiv???.. Yan hata kama nimeingia jana saa 8 usiku ila saa 4 mwisho, maana yake nini???
Sasa wakuu nitachomekea machimbo ya ifakara, mbinga, kahama, ambayo yana sifa bora na masafi mkifika huko direct mnaenda hapo mtahidumiwa vizuri sana kwa weledi mkubwa na bei kote ni 25k
CCTV ziwekwe reception, corridor ili kujua kila anayeingiaSecurity camera ni nje na sio vyumbani, kuna watu huingia na mtu room so yeye hatojua ataona ni taa tu ya kawaida lakini linapotokea tukio inakua rahisi kutrace ilikuaje,
Ila hiI ya saa 4 sio poa kabisa. ..23. TV za chogo
24. Chaneli zinabadilishiwa reception
25. Lodge kuna paka
26.Sabuni za mche unakatika kakipande
27. Mwisho saa nne kukaa chumbani
CCTV ziwekwe reception, corridor ili kujua kila anayeingia
Ila inabidi uwe wazifuatilia mara kwa mara maana wahudumu lazima watazipindisha ili wale pesa za short timeNdio vyumbani ni mahala pa faragha huko haiwekwi kabisa ni kuona tu huyu aliingia basi
hahahahh pole sana mkuuSiku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Sawa ndiyo iko hivo.Hujakosea hata kidogo
SIo mwenyeji Arusha i just had been invited to participate in short period event.Naomba niambie lodge nzuri arusha na namanga please
Ila inabidi uwe wazifuatilia mara kwa mara maana wahudumu lazima watazipindisha ili wale pesa za short time