Wamiliki wa mabasi jiongezeni mpige pesa zaidi, kituo cha mabasi Mbezi Luis ni changamoto kwa abiria

Hoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
MI nafikiri waweke safari za usiku, mabasi mengine yasafiri usiku
 
Kusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.

Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.

Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k unaenda Moshi/Arusha saa 11:30 asubuhi inatakiwa uripoti kituoni safari saa 12 hujachelewa?

Ubungo alieibuni basi hatosahaulika kwani ilikua center kabisa ya Dar.

Ni muda sasa wamiliki wa mabasi kufungua matawi maeneo ya mbali (mf. Tajwa juu hapo) ili kuwasogezea huduma wateja bila hivyo TRC wanaweza kukimbiza sana soko la usafiri.

Kuna kampuni kama Ester,Tilisho wameamua kufuata abiria walipo. Kampuni hizi zinatoa basi moja moja kwenda Mbagala na Chamazi asubuhi na mapema. Njia hii imefanya kupata wateja wengi sana, sasa endeleeni kukariri biashara kama hamjashindwa.
kwa sasa senta ya mji ni Mbezi sio Ubungo tena.
kwa sasa kariakoo inahamia mbezi, kwa kifupi mbezi na maeneo mengine kama kibamba, kiluvya nk ndio kila kitu wajanja wamesha wahi kujenga maeneo hayo maaana mji umetanukia huko sasa, lkn naamini hata wanao toka kisemvule, gmboto,mbagala n.k wanapaswa kuwahi tu hakuna mamna mwishowe watazoea tu, mwanzo mgumu
 
Kabisa.... Maana kutoka Chanika hadi ufike Ubungo saa 12 asubuhi, gharama yake inaweza ikawa sawa na nauli ya unakokwenda... Hata ukiamua kulala Mbezi ili uwahi badoo..!!!
 
Nakazia hapa.
Mtoa mada amekurupuka na kutoa lawama kama za wauza nyanya sokoni.
Kwa kifupi hakuna mahali ambapo ni karibu na patamfurahisha kila mtu.
Lazima kuna baadhi watafurahia kwa ukaribu na wengine watapaona mbali.
Na kuhusu swala la sijui kuamka saa ngapi ndio uwahi mmiliki wa basi au serikali haliwahusu ukiogopa kuchelewa kwa umbali amka saa tisa.
Kwa mfano hata hapo ubungo ambapo unasema ni karibu ulishawahi kuwaza mtu anayekaa bagamoyo au kimbiji anafikaje hapo ubungo ili awahi safari yake?Jiongeze
Basi tuu nakasirikaga nikiona Uzi wa ajab ajab kama huu

Hata hapo ubungo wapo watu waliokua wanatokea chanika,kisemvule, majohe walikua wanalala zile hotel unazoziona pale Ubungo and vice versa HIVYO JARIBU KUFIKIRI WAKATI MWENGINE

By the way Ubungo is the second terminal baada ya Mnazi mmoja Miaka hio
 
Wasafiri wengi ni wanunuaji wa bidhaa kutoka kariakoo sasa hapa utakuwa changamoto kubwa sana
 
Raha ya shida inamambo makuu mawili moja ikukomaze au ikuangushe ww angalia namna ya kurahisisha safar yako
 
Hoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
Inategemea umbali wa safari ndugu na pia uwingi wa abiria wanaokwenda mkoa husika.
Kwa mfano mabasi ya Dar-Arusha yapo kuanzia saa 12 hadi saa 4 asubuhi na bado baada ya hapo kuna noah nyingi zinakwenda na wana uhakika wa kufika mapema kabla ya saa 4 usiku.
Hii inatokana na harakati za watu husika wa mkoa huo.
Kuna mikoa mingine bus ikienda moja tu abiria wameisha na kingine tena kwa mfano safari ya dar-mwanza wakitoka dar saa 12 asubuh wanafika mwanza saa 6 usiku,sasa fikiria ukianza safari saa 4 asubuh utafika saa ngapi huko mwanza?
 
Kuhusu wambagala kutakua na Mwendo kasi hivyo fasta watu watawahi,,wa gongo la mboto,chanika kuna njiaya kinyerezi watawahi na ninachoona watu tutazoea na maisha yataenda kama kawa.
 
Mbona yapo mpaka ya saa 5 asubuhina kuendelea sema yanayoenda mbali huwahi kutoka ili ziwahi kufika mfano mtu anaendamwanzo akiondoka saa 4 asubuhi atatumia siku mbili njiani
Hoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
 
Inategemea umbali wa safari unayokwenda ndugu.
Kama ni safari fupi kama tanga,dodoma,morogoro masaa yote kuna mabus yanakwenda.
Kwa nini bus zote 100 au 200 zitoke saa 12 asubuhi? Why???? Kwa nini mengine yasitoke saa moja, saa mbili, saa tatu, saa 4 au saa tano??
 
Tununue bus 300Million alaf we abiria wa elf 30 utupige mkwara? Utajiongeza tu mwenyewe na utafika tu stand la sivyo uwe na private car yako la sivyo wahi kapandie ofisin saa 03:30 alfajir kabla gar haijaenda stand
 
Hiyo sababu ya kuwa na wajanja au wamejenga sijui kila kitu ni uongo tu ingekuwa hivyo wangeijenga sinza au kinondoni.
Sema wameisogeza kule kwa sababu ndio uelekeo wa highway ya kwenda mikoa mingi ya Tanzania,hii ndio sababu kuu hakuna nyingine.
Maana yake wanapunguza msongamano wa magari makubwa mjini yaani mabus na malori ndio maana wakajenga bandari kavu pia kule maeneo ya mlandizi.

Back
Top Bottom