mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wasafiri wengi ni wanunuaji wa bidhaa kutoka kariakoo sasa hapa utakuwa changamoto kubwa sana
Tununue bus 300Million alaf we abiria wa elf 30 utupige mkwara? Utajiongeza tu mwenyewe na utafika tu stand la sivyo uwe na private car yako la sivyo wahi kapandie ofisin saa 03:30 alfajir kabla gar haijaenda stand
Au Tinde..Watahamishia Morogoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi mwenyewe ninampango wa kuhama kutoka huku G.mboto anagalu nitafute kiwanja maeneo ya mbezi, kibamba au kiluvya, maaana huo ndio mwelekeo wa kwenda kwetu huko mikoani.Hiyo sababu ya kuwa na wajanja au wamejenga sijui kila kitu ni uongo tu ingekuwa hivyo wangeijenga sinza au kinondoni.
Sema wameisogeza kule kwa sababu ndio uelekeo wa highway ya kwenda mikoa mingi ya Tanzania,hii ndio sababu kuu hakuna nyingine.
Maana yake wanapunguza msongamano wa magari makubwa mjini yaani mabus na malori ndio maana wakajenga bandari kavu pia kule maeneo ya mlandizi.
mimi mwenyewe ninampango wa kuhama kutoka huku G.mboto anagalu nitafute kiwanja maeneo ya mbezi, kibamba au kiluvya, maaana huo ndio mwelekeo wa kwenda kwetu huko mikoani.
naipongeza serikali kwa kuutanua mji maaana jiji lazima litanuke
hahahahahaaWasiweke kwasababu watu watapiga miti badala ya kulala kuwahi basi
Wakati umefika mabasi yaruhusiwe kuanza safari usiku.MI nafikiri waweke safari za usiku, mabasi mengine yasafiri usiku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Esther, tilisho Rombo hiyo!
Wale wa geita, chattle na katerero watapeleka punda asubuhi maeneo hayo kuchukua abiria!
Unaenda mwanza utoke saa tano?Kwa nini bus zote 100 au 200 zitoke saa 12 asubuhi? Why???? Kwa nini mengine yasitoke saa moja, saa mbili, saa tatu, saa 4 au saa tano??
we utakuwa sio msafiri, mbona basi zipo za muda wowote unaotaka wewe kusafiri, na pia inategemea unaenda mkoa gani, mfano mtu anaeenda mwanza, bukoba, uganda ni lazma iwe saa 12, mana wakitoka zaidi ya hapo watafika kesho yake au kesho kutwa lakii mikoa mingine ya karibu mabasi yapo ya mida tofauti tofautiHoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
Anataka akfike kesho yake saa sita akute wameshapika sangara mchana afikie tuu mezaniUnaenda mwanza utoke saa tano?
Kilimanjaro Truck Wanachukua abiria KIGAMBONI.Kusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.
Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.
Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k unaenda Moshi/Arusha saa 11:30 asubuhi inatakiwa uripoti kituoni safari saa 12 hujachelewa?
Ubungo alieibuni basi hatosahaulika kwani ilikua center kabisa ya Dar.
Ni muda sasa wamiliki wa mabasi kufungua matawi maeneo ya mbali (mf. Tajwa juu hapo) ili kuwasogezea huduma wateja bila hivyo TRC wanaweza kukimbiza sana soko la usafiri.
Kuna kampuni kama Ester,Tilisho wameamua kufuata abiria walipo. Kampuni hizi zinatoa basi moja moja kwenda Mbagala na Chamazi asubuhi na mapema. Njia hii imefanya kupata wateja wengi sana, sasa endeleeni kukariri biashara kama hamjashindwa.
Mbona aina interval isipokuwa sehemu zenye km nying zaidi!Hoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
Hapo mabasi ya moja kwa moja mpaka Ubungo, hakuna basi la mwendokasi moja kwa moja kwenda Mbezi hata daladala toka Mbagala.Basi tuu nakasirikaga nikiona Uzi wa ajab ajab kama huu
Hata hapo ubungo wapo watu waliokua wanatokea chanika,kisemvule, majohe walikua wanalala zile hotel unazoziona pale Ubungo and vice versa HIVYO JARIBU KUFIKIRI WAKATI MWENGINE
By the way Ubungo is the second terminal baada ya Mnazi mmoja Miaka hio
Hawasemi mbali kwakua ndege zinaondoka muda unaochagua abiria kwa siku husika vp Mabasi, unaweza kuchagua muda unaotaka kuondoka mfano ya Mwanza Dar?Kwa nini watu wa Mbezi Beach, Tegeta, Bunju na sehemu zingine za mbali na Airport hawalalamiki kwamba Airport iko mbali?