Wapi basi zote zinatoka sa 12 asubui. Mbona za 1,2,3,4 zipo. Hadi sa nane kuna gari zinaenda Moshi. Tanga kuna Tashriff hadi ya sa 11 jioniKwa nini bus zote 100 au 200 zitoke saa 12 asubuhi? Why???? Kwa nini mengine yasitoke saa moja, saa mbili, saa tatu, saa 4 au saa tano??
haina shida mimi sina makuu ilimradi nipate sehemu ya kutosha vyumba viwili tu.Ni wazo zuri ila jiandae kuuziwa kiwanja juu ya mlima halafu kabla ya kujenga uanze kuchonga.
kwasababu ndege haziwezi kuwafuata walipo, na pia wanaopanda ndege wote wana uwezo wa kukodi taksi, bodaboda na kuwahi.Kwa nini watu wa Mbezi Beach, Tegeta, Bunju na sehemu zingine za mbali na Airport hawalalamiki kwamba Airport iko mbali?
Mim sijalalamika wala kukosoa ujengaji wa kituo hicho,elewa kwanza.Nakazia hapa.
Mtoa mada amekurupuka na kutoa lawama kama za wauza nyanya sokoni.
Kwa kifupi hakuna mahali ambapo ni karibu na patamfurahisha kila mtu.
Lazima kuna baadhi watafurahia kwa ukaribu na wengine watapaona mbali.
Na kuhusu swala la sijui kuamka saa ngapi ndio uwahi mmiliki wa basi au serikali haliwahusu ukiogopa kuchelewa kwa umbali amka saa tisa.
Kwa mfano hata hapo ubungo ambapo unasema ni karibu ulishawahi kuwaza mtu anayekaa bagamoyo au kimbiji anafikaje hapo ubungo ili awahi safari yake?Jiongeze
Hakuna mmiliki wa bus atachoma mafuta yake akufuate wewe kimbiji.Mim sijalalamika wala kukosoa ujengaji wa kituo hicho,elewa kwanza.
Nimesifia ila nimetoa ushauri kwa wamiliki wa mabasi wajiongeze ili kutanua wigo kibiashara na kiushindani.
Ushauri wangu sio sheria useme ni lazma ufatwe
Kwani bus zote zinaondoka saa 12 mbona kuna bus zinaondoka hadi mchana,mi naona ziwekwe bus zinaondoka kuanzia saa 1/2 mbili usiku kuendeleaHoja yako ina mashiko, kwanza sijawahi kuona mantiki ya Bus zote kuondoka saa 12 alfajiri. Iwekwe sheria Bus ziwe zinaondoka kwa intervals ya aidha nusu saa au saa moja. Yaani kuwe na ma Bus yanayoondoka Dar from saa 12 mpaka saa 5 asubuhi ili abiria wawe na choice kulingana na umuhimu wa safari yake na mahitaji mengine. Kwanza hii itapunguza ligi za kipuuzi huko barabarani.
Hii ya kusafiri usiku ni Good idea na Ina save time na mda wa kufanya MamboMI nafikiri waweke safari za usiku, mabasi mengine yasafiri usiku
Uanze kufuga jogoo linalowikaga ovyo ovyo pengine linaweza kukusaidia uamke saa 8 za usiku uwahi MbeziKusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.
Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.
Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k unaenda Moshi/Arusha saa 11:30 asubuhi inatakiwa uripoti kituoni safari saa 12 hujachelewa?
Ubungo alieibuni basi hatosahaulika kwani ilikua center kabisa ya Dar.
Ni muda sasa wamiliki wa mabasi kufungua matawi maeneo ya mbali (mf. Tajwa juu hapo) ili kuwasogezea huduma wateja bila hivyo TRC wanaweza kukimbiza sana soko la usafiri.
Kuna kampuni kama Ester,Tilisho wameamua kufuata abiria walipo. Kampuni hizi zinatoa basi moja moja kwenda Mbagala na Chamazi asubuhi na mapema. Njia hii imefanya kupata wateja wengi sana, sasa endeleeni kukariri biashara kama hamjashindwa.
Mwenyewe napendekeza kusafiri usiku ni kuzuri imagine una issue yako imetokea saa kumi na tukio lako ni kesho, kuliko kupoteza siku heri kusafiri huo usiku, udamkie huko mapema uendakoWakati umefika mabasi yaruhusiwe kuanza safari usiku.
Safari za usiku (kwa wanaokwenda bara) zitawapunguzia sana gharama.
Atatoka kwake kwa usafiri wa kawaida kwa gharama nafuu tofauti na sasa ambapo analazimika kukodi gari au kuhangaika sana.
Wanaokwenda Kigoma, Burundi, Rwanda, Bukoba nk warafika Kahama mchana ambapo wataendelea na safari.
Hivi sasa wanalazimika kulala Kahama ambapo hili linaongeza gharama kwa abiria.
Wanaokwenda Mwanza, Shinyanga, Mara na kwingineko watafika Mwanza mchana kisha kuendelea na safari zao badala ya kulala.
Ukifanya hesabu sawasawa utaona kuwa utaratibu wa kusafiri usiku utawapa nafuu abiria na wenye mabasi.
Nahisi pia itapunguza msongamano barabarani.
Vile vile kusafiri usiku kutaokoa muda wa usiku unaopotea bure kwa kulala (mfano Kahama) badala ya kusafiri.
Tumaini letu ni kwa Bwana.
ishu ya kuzuia mabasi kusafiri usiku ni ya kiusalama zaidi.Mwenyewe napendekeza kusafiri usiku ni kuzuri imagine una issue yako imetokea saa kumi na tukio lako ni kesho, kuliko kupoteza siku heri kusafiri huo usiku, udamkie huko mapema uendako
Hzo sababu ni za kiuoga tu kwanini traffic wasiwepo na ni majukumu yao, nimesafiri usiku magari huenda tu taratibu, hii kusubiria tu mchana sio sahihi, kabisaishu ya kuzuia mabasi kusafiri usiku ni ya kiusalama zaidi.
Kuna wale majangiri wa kuweka magogo barabarani
Lakini pia hamna Traffic wa kukesha Usiku
Lakini Pia madereva watakuwa wanakimbiza mno mabasi na Usiku kwenye mwanga hafifu ni rahisi kupata ajali
Pia mkipata Shida ni ngumu kupata msaada saa nane za usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna barabara inatokea mbezi kupitia kinyerezi Hadi gongolambotoKabisa.... Maana kutoka Chanika hadi ufike Ubungo saa 12 asubuhi, gharama yake inaweza ikawa sawa na nauli ya unakokwenda... Hata ukiamua kulala Mbezi ili uwahi badoo..!!!
Mtoa mada utakuwa mkazi wa Buza bila shakaKusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.
Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.
Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k unaenda Moshi/Arusha saa 11:30 asubuhi inatakiwa uripoti kituoni safari saa 12 hujachelewa?
Ubungo alieibuni basi hatosahaulika kwani ilikua center kabisa ya Dar.
Ni muda sasa wamiliki wa mabasi kufungua matawi maeneo ya mbali (mf. Tajwa juu hapo) ili kuwasogezea huduma wateja bila hivyo TRC wanaweza kukimbiza sana soko la usafiri.
Kuna kampuni kama Ester,Tilisho wameamua kufuata abiria walipo. Kampuni hizi zinatoa basi moja moja kwenda Mbagala na Chamazi asubuhi na mapema. Njia hii imefanya kupata wateja wengi sana, sasa endeleeni kukariri biashara kama hamjashindwa.