polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Waziri wa fedha si wa kumuamini sijajua mama alijiamini nini. Kama ndio yalikuwa mambo ya kutunza legacy haya ajiandae kuchukiwa na wananchi mana kila kitu kinacho gusa wananchi moja kwa moja bei imepaa sasa na wasubiri tu swala la vocha makato kila mwezi na na bado makato kupitia luku,ziandaliwe nyimbo tu.Mafuta yamepanda so almost every thing kitapanda tu sijui hawakufikiria hili na waziri wa fedha eti ni mchumi loh