Wakati Mwigulu anasoma bajeti ulikuwa busy kushangilia Sabaya kupelekwa kisongo na kusaini petition ya kumtoa Mondi Bet, so shut up
Yaani hizo kodi na tozo kibao wabunge wenu walivyokuwa wakizigongea meza bungeni, watz mlitegemea nini kitatokea baadae.. kubalini maumivu tu.Jiwe alikuta sukari kilo inauzwa 1500 mwaka 2015, mwaka 2018 sukari ilianza kuuzwa 2500 mpaka leo.
Inaonekana unapenda sana uchanguHata asingeshangilia ingemsaidia nini? Bungeni si mmejazana machangu wa kijani tupu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi zilikuwa kauli za mwendakuzimu!Mafuta yamepanda bei juz, sasa Kama unataka nauli ya chini Panda ungo.
Ni vizuri ungetoa mfano halisia kama kuna mtoto alikuwa anakwenda shule fulani mkoa fulani, nauli kawaida ni x lakini Leo ilikuwa Y na bei elekezi ni Z.SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus.
Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei wanazojiamulia na mnajua kabisa ila hakuna udhibiti. Tunafika ofisini kwenu mmefunga ofisi mmelala mnatusaidia nn? Stend kuu Dar Hali Ni tete watoto wamekwama kwenda shule kisa ukubwa wa nauli.
Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani unamsubiri Waziri na Mhe Rais aseme? SUMATRA mnasubiri nn kutoa taadhari kwa umma Kama miaka ya nyuma, au mnatingisha kiberiti?
Naamini hii kadhia itaondoka na watu msipowakamata wale wote waliopandisha nauli. Simamisheni mabus muhoji wamelipa nauli kiasi gani abiria mtagundua bei siyo elekezi Ni bei tapelezi
Mamlaka za nchi hazijawahi kulala. Zinawachora tu wanaopandisha bei kiholela. Muda sio mrefu watalia na kusaga meno.
Mama hataki dhuluma na uonevu.