Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Inawezekana hata Misri ilikuwa nchi ya weusi ila Waarabu walivamia tu..

Ila Cleopatra kusema hakuwa mweusi haiingi akilini.
zitto junior
 
ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12

We mwenyewe huna hakika na tena unathibitisha alikua ni Mgiriki
 
Hakua muafrika. Alexander the great kama angekua anaishi sana misri wakati anaitawala si ajabu nae wanemuita muafrika
 
Tusibishane bure. Hao watu weupe wa Egypt sasa hivi wako wapi?
 
Watu hadi leo tunakunya porini ambapo reli ya kisasa ya umeme ya mkopo inamopitia tutaweza kuandika ya kwetu kweli?
Ajabu ni ipi, Mzungu kuchambia karatasi na mwarabu kuchambia maji.
No universal rules na sheria hazitatosha kamwe. so kila mtu na aishi kwa tamaduni zake.
 
I se
I see kumbe kalikuwaa kabayaaa hivyo?. Midomo mibaya kama ya gig money
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
Hivyo vitabu kaandika nani?
Nyinyi ndo mnanganywaga mchana kweupe na mkiambiwa mmedanganywa hamtaki....
Wazungu washakuchota akili...
Usikute unaamini Europe ni continent pia...sababu wazungu wangekwambia kupitia vitabu vyao??

Hebu jiulize kama a continent lazima iwe surrounded na water mbona European continent haiko surrounded na water?? Uko brainwashed...na hujui..
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
Asili Yao ni WA Africa ,kuwavwaaranu ni matokeo ya waarabu kuanzisha biashara na mahusiano na Arabic ndio tumeona waafrica wakaisha ikabaki hybrid ya kiarabu
 
Jews wenyewe ni weusi kama sisi tu.

Sio hao wazungu waliopo Israel kwa Sasa.
 
Mkuu unatuchanganya sasa, yani wewe kutwa ni kupinga yaliyoandikwa kisa waandishi ni wazungu afu wewe nukuu zako zote unazitoa kwa hao hao wazungu.

Ebu tuletee sorce ata mbili ambazo unaziamini ambazo hazijatokana na hao wazungu
 
Naleta source za wazungu waliokataa kusambaza uongo...sasa kama source ni za wazungu huoni tayari Una haki ya Ku doubt kila wanachokwambia na uanze kutumia akili zaidi na kufanya tafiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…