Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Unataka ushahidi wa aina gani?? Naweza kukuletea portraits zake Kama utasema Cleopatra hakuishi coz picha zake si halisi basi naweza sema pia Muhammad (SAW) hakuwahi kuwepo duniani, je utabisha?
Nimecheka sana hili ndiyo tatizo lililopa katika huu mjadala.

Tuanzie hapa, kuwepo kwa picha au kutokuwepo siyo ushahidi wa kuonyesha uwepo wa kitu.

Nataka ushahidi wa kihistoria ambao unarudi kwenye Primary Source. Kingine sijasema hakuishi nimeandika huenda.

Ukisema Muhammad hakuishi nitakutomba ushahidi. Mimi nasema Muhammad ameishi, sababu nina chain na habari zake zimepokelewa au kusimuliwa na watu zaidi ya mmoja tena waadilifu na wakweli. Huku usiguse sababu ni bahari nyingine.

Tuanzie hapa katika Yale maswali niliyo uliza.
1. Nani wa kwana kuandika historia ya Cleopatra ?

2. Je aliyeandika Historia ya Cleopatra alimuona Cleopatra ?

3. Kama hakumuona je habari zake amezipata wapi ?

Tuanze na maswali haya kwanza.
 
Wewe unaweza kutupa ushahidi Muhamad alikuwepo?
Hili kwangu rahisi sana, sababu habari zake zimedhibitiwa tena kwa "Chain iliyoshikana". Hili litafata baadae, tumalize hili kwanza.

Isiwe mnajadiki ngano na visasili vya watunzi mahiri wa simulizi za kufikirika.
 
Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu ..
Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia...


Leo nasoma kitu kipya!!!, mkuu unao ushahidi wa kihistoria wa jambo hili kubwa unalolisema??
 
Unajua hpa kila nikisoma hiki kipande akili yngu inarudi kwa waydad na raja Casablanca kumbe huwa tunapigwa na timu za Spain bila kujua
 
Inawezekana hata Misri ilikuwa nchi ya weusi ila Waarabu walivamia tu..

Ila Cleopatra kusema hakuwa mweusi haiingi akilini.
zitto junior
Uko sahihi kabisa hata 25th dynasty chini ya Pharaoh Thutmose walikua wametokea Sudan huko pure blacks ila Cha kushangaza Modern media Ina potray kama alikua mweupe. Sasa unajiuliza hao weupe walitoka wapi Sudan/Nubia ya enzi hizo.

Sio huko tu hata Tunisia(Carthage ya kale) huko wanam term Hannibal kama mweupe wakati alikua black kutokea Numidia kama mtumwa.

Hawa western media tukiacha watuandalie historia ndio madhara yake.
 
Leo nasoma kitu kipya!!!, mkuu unao ushahidi wa kihistoria wa jambo hili kubwa unalolisema??
Inabidi ufanye research mwenyewe
Wazungu wanaficha ficha Sana...kuna source watakuambia wamisri 17 percent walitoka Greece...waliobaki Macedonia n.k...
Nikupe kitu kingine kipya Leo ..
Hakuna continent inaitwa Europe...
Sifa za continent izungukwe na maji pande zote ....wazungu wanafanya utapeli ...Sana ...eti Uturuki upande Asia upande Europe...Russia upande Asia upande Europe...we huoni utapeli WA wazi wazi Kabisa???


Kwanini Sisi tusiseme zile nchi tunaita za kiarabu zote ni Meditaranean continent mfano? Halafu Africa ni huku Kwa weusi??

Nikupe uongo mwingine WA wazungu wa waziwazi...tazama atlas na ramani zote duniani utaona Russia ni pana kuliko bars la Africa...sasa nenda katazame ukubwa halisi Kwa square meters ushangae . Russia inaingia Africa mara mbili na zaidi....wazungu matapeli sana
 
Ndo maana wakaanzisha somo linaitwa Egyptology....yaani ni kuhusu WA misri only ili waedit Kwa Uhuru
Watu wakiuliza mbona masanamu yote ya Egypt pia zao za kibantu ... wataalam WA Egyptology wanakuja na maelezo mengine ya kitaalam...
 
Huyo hajui ni anaandika kwa kudhani
Mkuu unatuchanganya sasa, yani wewe kutwa ni kupinga yaliyoandikwa kisa waandishi ni wazungu afu wewe nukuu zako zote unazitoa kwa hao hao wazungu.

Ebu tuletee sorce ata mbili ambazo unaziamini ambazo hazijatokana na hao wazungu
 
Huyo Clepatra mnayemuongelea na yule Cleopatra dada yake na Alexander the great ni watu tofauti!?
Ni watu tofauti labda unachanganya Kwakua wote walikua Wagiriki na wote walikua watawala wa Misri. Sidhani kama Alexander alikua na dada aitwae Cleopatra.

Cleopatra alikuweko karibia Yesu Anazaliwa wakati alexander alikua miaka mingi nyuma karibia 200 kabla ya kuzaliwa Yesu
 
Dada pekee waliye shea baba na mama na Alexander the great naye anaitwa Cleopatra
 
Mkuu wewe ni Flat earther?
 
Cleopatra anayeongelewa ni dada yake na Alexander the great
 
Yes ni correct na baadhi ya mambo walijifunzia Egpty ambayo ilikuwa rich Kwa mambo mengi hata mifumo ya miezi 12 walijifunza kutoka Egpty na na Augustus vile Rome was super power at that time it's obvious vingi vilibadilishwa I think hata mambo ya Imani vile vile, ila mambo ya miezi Kwa mwaka walijifunza Egpty ndio kama hyo July, August hivo
 
Cleopatra alikuwa mu Giriki by nature na hyo ilitokea baada ya Alexander the Great kufa wale majemedari waligawana regions za kuongoza na ndio Ptolemy dynasty ikawa Ina rule Egpty ndio Cleopatra akafikiwa kuongoza. So Cleopatra was a Greek but leading Egpty
 
Janja kujiita Da Vinci usijione jiniazi kuna vingine kubali huvijui, sema we kama zako nyingi unazoandika unaonyesha fika we eurocentric minded, umekuwa totally brainwashed huwajui waafrika wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…