Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Ni wapi siku hizi chadema ina kusanya kodi za wananchi?!! Jiulize kwanini kipindi 2015 kurudi nyuma halimashauri zote zilizokuwa chini ya chadema ziliongoza kuwa na maendeleo? Ukilinganisha na zile zilizokuwa chini ya MICHWA!!? Sasa halimashauri zote ziko hoi bin taabani kwani vyanzo karibu vyote vya mapato vinakwenda hazina!! Na hazirudishwi on time, ndio maana mambo mengi hayaendi.
 
Tajiri Tanzanite,

Unapoongelea kuzorota kwa maendeleo ituhumu serikali ambayo inashindwa kuleta maendeleo kwa wanannchi ambao tayari wamekwisha kulipa kodi.

Serikali ndiyo inayohusika na kuzorota kwa uchumi na si mtu mwingine yeyote kwasabau kodi zote zinaenda serikalini.
 
Unatakiwa kufikiri nje ya box wewe nyumbu,umeletewa katren tayari umeshasahau machungu yote ya miaka 5 duhhh
Reli inakusaidia kupata hicho chakula kirahisi, watu watasafirisha mizigo kwa bei rahisi bidhaa na chakula zitashuka bei. Chadema kweli ina wanachama wenye akili ndogo kweli.
 
Serikali na ccm wanapaswa kuadhibiwa mwaka huu kwa kuua reli ya kaskazini kwa miaka 30 tumepata hasara kubwa sana.
Pamoja na Kifo cha hii Reli, Kwani Kaskazini kuna Shida ya Usafiri?? Mimi naona kama tuna Over Usafiri Eneo Hilo. Kahawa imekufa, Ngano ya Basuto na RVs imekufa, Kiwanda cha Maziwa, General Tyre, Ngozi, Fibreboard, Philips, Machine tools na Mkonge Pale Himo na Mombo vinasuasua. Wananchi wangepambana kufufua Mazao na Viwanda Kwanza.
 
Train ya mwaka 47 msitutanie aisee ,Arusha kiwango kingine hata kama nimechoka CCM au CHAdema bado msitutanie tuleteeni maendeleo ya kweli
 
Tanzanite inajulikana ni mali ya Tanzania hii ni baada ya JPM kuingilia kati
 
Reli inakusaidia kupata hicho chakula kirahisi, watu watasafirisha mizigo kwa bei rahisi bidhaa na chakula zitashuka bei. Chadema kweli ina wanachama wenye akili ndogo kweli.
Mmechoka Sana nyie kumbe mipango yenu ya maendeleo mnpanga kwa ajili ya kuifuta Chadema, Lol! Africa my continent!
 
Wewe ni mjinga na sijui ni RAIA wa nchi gani. Waulize wa Shinyanga na Mwanza reli ipo jee sasa hivi kuna mabehewa yanaenda huko?
Hizo zinaitwa danganya wajinga (kama wewe) ili kuwaaminisha
Halafu kumbe mipango Yao ya maendeleo ni kwa ajili ya Kuifuta Chadema.Sijawahi kuona nchi yenye Watu wajinga kama hii.
 
Hivyo viwanda vingeanza kufufuliwa,mkesema unafufuje viwanda huku miundo mbinu kama treni na barabara bora hakuna, atasafirishaje malighafi na bidhaa za viwandani. Nyinyi chadema chezeni na akili za watanzania wajinga, ila ipo siku watanzania wataamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…