Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM ndio wanakusanya kodi?Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Ni wapi siku hizi chadema ina kusanya kodi za wananchi?!! Jiulize kwanini kipindi 2015 kurudi nyuma halimashauri zote zilizokuwa chini ya chadema ziliongoza kuwa na maendeleo? Ukilinganisha na zile zilizokuwa chini ya MICHWA!!? Sasa halimashauri zote ziko hoi bin taabani kwani vyanzo karibu vyote vya mapato vinakwenda hazina!! Na hazirudishwi on time, ndio maana mambo mengi hayaendi.Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Mtakula Treni?
Reli inakusaidia kupata hicho chakula kirahisi, watu watasafirisha mizigo kwa bei rahisi bidhaa na chakula zitashuka bei. Chadema kweli ina wanachama wenye akili ndogo kweli.
HIyo Miaka 30 kabla alikuwa analeta chakula? Mnataka kudanyanga watu na michuma yenu hiyo. Kila mtu ashinde mechi zake!Rais akuletee chakula nyumbani kwako?
Wewe na chadema yako..imeleta nini kwenye majimbo yenu..Unatakiwa kufikiri nje ya box wewe nyumbu,umeletewa katren tayari umeshasahau machungu yote ya miaka 5 duhhh
Pamoja na Kifo cha hii Reli, Kwani Kaskazini kuna Shida ya Usafiri?? Mimi naona kama tuna Over Usafiri Eneo Hilo. Kahawa imekufa, Ngano ya Basuto na RVs imekufa, Kiwanda cha Maziwa, General Tyre, Ngozi, Fibreboard, Philips, Machine tools na Mkonge Pale Himo na Mombo vinasuasua. Wananchi wangepambana kufufua Mazao na Viwanda Kwanza.Serikali na ccm wanapaswa kuadhibiwa mwaka huu kwa kuua reli ya kaskazini kwa miaka 30 tumepata hasara kubwa sana.
Mmechoka Sana nyie kumbe mipango yenu ya maendeleo mnpanga kwa ajili ya kuifuta Chadema, Lol! Africa my continent!Reli inakusaidia kupata hicho chakula kirahisi, watu watasafirisha mizigo kwa bei rahisi bidhaa na chakula zitashuka bei. Chadema kweli ina wanachama wenye akili ndogo kweli.
Halafu kumbe mipango Yao ya maendeleo ni kwa ajili ya Kuifuta Chadema.Sijawahi kuona nchi yenye Watu wajinga kama hii.Wewe ni mjinga na sijui ni RAIA wa nchi gani. Waulize wa Shinyanga na Mwanza reli ipo jee sasa hivi kuna mabehewa yanaenda huko?
Hizo zinaitwa danganya wajinga (kama wewe) ili kuwaaminisha
Hivyo viwanda vingeanza kufufuliwa,mkesema unafufuje viwanda huku miundo mbinu kama treni na barabara bora hakuna, atasafirishaje malighafi na bidhaa za viwandani. Nyinyi chadema chezeni na akili za watanzania wajinga, ila ipo siku watanzania wataamka.Pamoja na Kifo cha hii Reli, Kwani Kaskazini kuna Shida ya Usafiri?? Mimi naona kama tuna Over Usafiri Eneo Hilo. Kahawa imekufa, Ngano ya Basuto na RVs imekufa, Kiwanda cha Maziwa, General Tyre, Ngozi, Fibreboard, Philips, Machine tools na Mkonge Pale Himo na Mombo vinasuasua. Wananchi wangepambana kufufua Mazao na Viwanda Kwanza.
Na ungemuuliza hiyo treni na reli yake viliacha kufanya kazi wakati wa utawala gani?Chadema wajenge treni wamewai kuongoza nchi na kupanga matumizi ya bajeti ya nchi?
Hujasikia "...sileti maendeleo hapa kwa sababu mlichagua vibaya!!"Halafu kumbe mipango Yao ya maendeleo ni kwa ajili ya Kuifuta Chadema. Sijawahi kuona nchi yenye Watu wajinga kama hii.