Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

kwa hyo unafananisha treni za ulaya na za tanzania? teh teh teh! unafananisha treni inayotumia dk thelathini kufika na inayotumia siku mbili??
 
Train za TRL hATA NIPEWE LIFT ZIWEZI KUPAKIA mna kunguni wa kufa mtu....bora usafiri wa traini ungepelekwa huko Matindigani kwao Mwanza,kigoma,singida Musoma nk lakini sio Arusha!
Arusha ni jiji .....lina viwango vyake !
 
Wewe kwa sasa hauwezi kuona faida yake..ila sisi watanzania wenzio tunahitaji hii treni sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…