Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Bus za wap matawi ya juu labda. Kwani ni wapi bus mbovu siku hizi zinaenda. embu angalia mikoa yeto km bus zoote ni pamba kwa sababu barabara ni nzuri sana. Ulaya wenywe wanatumia tren sembuse tz. Tren ziko very economy. Nauli ni rahisi sana. hata usafirishaji wa mizigi ni cheap kwa sababu wanasafirisha ni bulk. Yaan kama gunia moja unasafirisha kwa elfu tano kwa lori kwa treni litakuwa elfu.
kwa hyo unafananisha treni za ulaya na za tanzania? teh teh teh! unafananisha treni inayotumia dk thelathini kufika na inayotumia siku mbili??
 
Train za TRL hATA NIPEWE LIFT ZIWEZI KUPAKIA mna kunguni wa kufa mtu....bora usafiri wa traini ungepelekwa huko Matindigani kwao Mwanza,kigoma,singida Musoma nk lakini sio Arusha!
Arusha ni jiji .....lina viwango vyake !
 
Wewe kwa sasa hauwezi kuona faida yake..ila sisi watanzania wenzio tunahitaji hii treni sana tu.
 
Back
Top Bottom