kwa hyo unafananisha treni za ulaya na za tanzania? teh teh teh! unafananisha treni inayotumia dk thelathini kufika na inayotumia siku mbili??Bus za wap matawi ya juu labda. Kwani ni wapi bus mbovu siku hizi zinaenda. embu angalia mikoa yeto km bus zoote ni pamba kwa sababu barabara ni nzuri sana. Ulaya wenywe wanatumia tren sembuse tz. Tren ziko very economy. Nauli ni rahisi sana. hata usafirishaji wa mizigi ni cheap kwa sababu wanasafirisha ni bulk. Yaan kama gunia moja unasafirisha kwa elfu tano kwa lori kwa treni litakuwa elfu.