Kama ni muasisi wa TOZO, nampa hongera saana kwani matunda ya hilo wazo lake kila mtu anayaona. Asiyeyaona basi ana lake jambo! Ni wazo la maendeleo hadi Ghana na nchi nyingine wame COPY NA KUPASTE. Hongera sana Zungu!Huyu ndio muasisi wa Tozo
Ngoja tupate spika muuza bange tuone itakuwajeAliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick Nkamaha. Mchakato huu umeanza baada ya CCM kutangaza kutaka muwakilishi kugombea nafasi iliyoachwa na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai
- Patrick Nkamah
- Stephen Masele
- Tulia Ackson Mwansasu
- Godwin Kunambi
- Hamidu Ubaidi Chamani
- Joseph Kasheku Musukuma
- Mussa Azzan Zungu
hili kweli linafikirisha!Tulia ana tamaa. Sasa si ajiuzulu u naibu?Au ndo anataka pote. Yaani akikosa U speaker basi anabaki na unaibu. Wanasheria tusaidieni.
SPIKA ALIKUWA SAMWELI SITA.ALIENDESHA BUNGE LA WANANCHI.ALIPENDWA SANA KWASABABU HAKUEGEMEA UPANDE WA SERIKALI,ALISIMAMA NA WANANCHI.Huyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge
Ccm haijawahi kuwapigania wananchi.Wamepiga hesabu ya mshahara mnono wa spika, marupurupu na hata marupurupu baada ya kustaafu sasa wanakimbilia kugombea uspika kwa ajili ya matumbo yao.
Hatujasikia hata mwanaCcm mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi. Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.
Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi.
Kiufupi ccn ni janga kwa mustakabali wa nchi yetuMkuu utajisumbua bure tu. Hata ungekuwa ni wewe unachukua hiyo fomu kwa mifumo iliyopo ungekuwa unapigania tumbo lako tu na wanao tusidanganyane. Kuna mwanasiasa nchi hii anayepigania maslahi ya taifa/wananchi? Nani? Kwa maoni yangu labda Nyerere peke yake ndiye alijaribu sana kuwa mwadilifu kabisa kabisa!
Kwanza ukijitia uadilifu katika nchi hii ukija kuachia madaraka watu hao hao uliokuwa ukiwapigania wanakucheka. Utaitwa boya uliyeshika madaraka makubwa halafu ukaondoka bila kujitajirisha. Na kwa huo uadilifu wako eti unapigania wananchi utakufanya ufe mapema tu kabla ya siku zako!
Acha watu wale bana. Na wewe zamu yako ikifika kula tu.
Ila katiba mpya ni lazima! Kuna ujinga mwingi sana ndiyo maana inafika mahala watu wanajisahau kuwa nao ni wanadamu tu wenye damu na nyama!
Swala la kulinda maswali lipo kikatiba na ndyo kazi ya bunge na Mbunge, kama mtu atagombea nafasi bila kujuwa wajibu wake basi atakuwa amedhurumu ile nafasi kwa mtu aliyestahili kupata nafasi ile.Siyo kazi ya wanaCCM au viongozi kulinda maslahi ya wananchi. Usiwalazimishe.
Kila binadamu hupigania na kulinda maslahi yake kwanza. Mengineyo ni lugha za kisiasa tu. Mfano, jitazame wewe mwenyewe. Unapigania maslahi ya nani? Ninaamini hata yale ya jumla utapenda yale yanayokunufaisha wewe pia. Mfano barabara utapenda ipite kwako, maji yafike kwako, nk.
Katiba na sheria bora pekee ndivyo vyombo vya kulinda na kupigania maslahi ya jumla ya wananchi. Ndiyo maana tunawaapisha viongozi wailinde katiba na kuzitii sheria.
Nikupe pole kama umeiweka akili yako kuwategemea wanaCCM walinde maslahi ya wananchi. Pole sana.
Una akili timamu? Ulienda shule?Siyo kazi ya wanaCCM au viongozi kulinda maslahi ya wananchi. Usiwalazimishe.
Kila binadamu hupigania na kulinda maslahi yake kwanza. Mengineyo ni lugha za kisiasa tu. Mfano, jitazame wewe mwenyewe. Unapigania maslahi ya nani? Ninaamini hata yale ya jumla utapenda yale yanayokunufaisha wewe pia. Mfano barabara utapenda ipite kwako, maji yafike kwako, nk.
Katiba na sheria bora pekee ndivyo vyombo vya kulinda na kupigania maslahi ya jumla ya wananchi. Ndiyo maana tunawaapisha viongozi wailinde katiba na kuzitii sheria.
Nikupe pole kama umeiweka akili yako kuwategemea wanaCCM walinde maslahi ya wananchi. Pole sana.
Hapana, kwa nafasi ya spika na mshahara wa spika mtu ana nafasi ya kupata mshahara mkubwa na bado akistaafu anapata 80% ya mshahara mpaka kufa. Mtu ukiba nafasi hii lazima uwekw maslahi ya taifa lako mbele.Mkuu utajisumbua bure tu. Hata ungekuwa ni wewe unachukua hiyo fomu kwa mifumo iliyopo ungekuwa unapigania tumbo lako tu na wanao tusidanganyane. Kuna mwanasiasa nchi hii anayepigania maslahi ya taifa/wananchi? Nani? Kwa maoni yangu labda Nyerere peke yake ndiye alijaribu sana kuwa mwadilifu kabisa kabisa!
Kwanza ukijitia uadilifu katika nchi hii ukija kuachia madaraka watu hao hao uliokuwa ukiwapigania wanakucheka. Utaitwa boya uliyeshika madaraka makubwa halafu ukaondoka bila kujitajirisha. Na kwa huo uadilifu wako eti unapigania wananchi utakufanya ufe mapema tu kabla ya siku zako!
Acha watu wale bana. Na wewe zamu yako ikifika kula tu.
Ila katiba mpya ni lazima! Kuna ujinga mwingi sana ndiyo maana inafika mahala watu wanajisahau kuwa nao ni wanadamu tu wenye damu na nyama!
Wengine wanajua hawawezi kupita,ila wanamkumbusha Sa100 kuwa wapo Bado active Ili wapate teuziWamepiga hesabu ya mshahara mnono wa spika, marupurupu na hata marupurupu baada ya kustaafu sasa wanakimbilia kugombea uspika kwa ajili ya matumbo yao.
Hatujasikia hata mwanaCcm mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi. Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.
Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi.
Mpwa naona akili zimekua stable sasa, hongera sana. Mungu akubariki, CCM haijawahi na haitakaa iwe kwa maslahi ya nchi. Kama Mbunge anaweza kusimama bungeni na kukiri kuwa Yuko Tayari kuua ili kuutetea Ubunge na akapigiwa makofi basi ujue Hali ni mbayaaaaaaaHii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi