Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #101
Rais Samia na serikali yake amekuwa akitenda haki,kuwapa haki zao Watanzania, kuwasikiliza kero zao pamoja na kuwatatulia.Inawezekana ikawa kweli, mimi sina uhakika na hilo. Ila nyie mlioshika dola msijisahau na kuwapuuza wanyonge wanapolilia kupewa haki zao. Mkawaona hawana nguvu, wanaogopa kupigwa virungu na polisi na kufungwa jela. Kama mnataka kuendelea kuongoza dola kwa muda mrefu, basi watendeeni haki Watanzania. Wapeni stahiki zao, msiwabeze na kuwaumiza wale wanaowakosoa kwa haki.
π€£π€£π€£ , Shida ya polisi wa tz hawana utu kabisa, vile virungu vimetengenezwa kwa mti mgumu halafu wanapiga popote hasa hasa kichwani, kwenye magoti na kwenye ugokoMimi mwenyewe naviogopa sana virungu vya polisi.Vijana wa CHADEMA pamoja na ujinga wao wote lakini huwezi kuwadanganya kuwa waandamane mbele ya polisi maana wanajuwa maumivu na uchungu wa virunguu vya polisi. Si unaona walivyo mtelekeza mbowe?
Acheni porojo zenu hapa.si mlisema mtaandamana bila kuwaogopa polisi?Wameandamana polisi kwa kutumia Kodi zetu wanaCHADEMA.
Ikwanzilwa muhomwe ahinza ngati Imbwa iyashipena.Ishi inga mwatuvunza ivinama mwa kusunga abhana wane
Mngeandamana tu .si mlisema kuwa hamuwaogopi polisi? Mbona leo mmemtelekeza Mbowe Peke yake? Wanafiki wakubwa Ninyi msio na haya wala aibu.
Mtangandema vywe nkushimbila ulubhiloIkwanzilwa muhomwe ahinza ngati Imbwa iyashipena.
Uhashele uyinjile mumbarambara.Mtangandema vywe nkushimbila ulubhilo
Ntangashela weya nte me mwanasiasaUhashele uyinjile mumbarambara.
Jambo ambalo nimegundua watanzania tumekuwa wajinga sana, tukiibiwa, viongozi wakifuja mali zetu, bei za mazao zikiwa chini tunaishia kulalamika.
Hivyo basi nikiwa kiongozi ndani ya CCM ata nikionea wananchi, nikionea wakulima, nikizurumu wakulima wa korosho, pamba bado nitalindwa na vyombo vya dola.
Kipindi nikiwa chuo, na nikiwa kijana mdogo tena kinda kuna Prof ,siyo Prof J ,wala Lipumba aliwahi kuniambia au kuambia hadhara kuwa,,
Nanukuu;BAADA YA MIAKA 20 KUNA KIZAZI KITATAKA MABADILIKO PIA ATA KIZAZI CHENU NI CHA WATU WA MABADILIKO ""mwishi wa kunukuu.
Sasa nikiangalia miaka 20 hiyo imetimia toka nitoke masomoni lakini kizazi kilichosemwa kimegeuka kuwa cha Simba na Yanga na kizazi cha machawa aina ya kina Mwijaku.
Kwanini 2045 ,naamini 2045 watanzania angalau kidogo watakuwa wameanza kuelimika na nitaongoza taifa ambalo vijiweni litakuwa linajadili maendeleo ya nchi yao, katiba yao pia CCM itakuwa imesambaratika na mimi nitafanya kazi ya kuirudisha.
Kwasasa hacha nirudi CCM kimwili kiroho kama JPM ndani alikuwa UPINZANI nje CCM.
POLENI CHADEMA TUKUTANE SERIKALI ZA MITAA
"Hacha"hacha nirudi CCM kimwili kiroho kama JPM ndani alikuwa UPINZANI nje CCM.
POLENI CHADEMA TUKUTANE SERIKALI ZA MITAA
CHADEMA wanatumia hisia, mihemko, huruma za wananchi na ushabiki wa mitandao ya kijamii kujiendesha na kujiongoza. Hawana mipango mikakati mahususi yenye kuvutia wananchi wengi, wala hawatumii diria mahususi ya kitaalamu kutokana na ushauri wa kitaalamu, bali uelekeo wao ni mpaka mwananchi agongwe na gari aumizwe vibaya, au mwananchi afumaniewe apigwe sana aumizwe, sasa kuwatetea hao ndiyo huchukuliwa kama sera za chadema.Jambo ambalo nimegundua watanzania tumekuwa wajinga sana, tukiibiwa, viongozi wakifuja mali zetu, bei za mazao zikiwa chini tunaishia kulalamika.
Hivyo basi nikiwa kiongozi ndani ya CCM ata nikionea wananchi, nikionea wakulima, nikizurumu wakulima wa korosho, pamba bado nitalindwa na vyombo vya dola.
Kipindi nikiwa chuo, na nikiwa kijana mdogo tena kinda kuna Prof ,siyo Prof J ,wala Lipumba aliwahi kuniambia au kuambia hadhara kuwa,,
Nanukuu;BAADA YA MIAKA 20 KUNA KIZAZI KITATAKA MABADILIKO PIA ATA KIZAZI CHENU NI CHA WATU WA MABADILIKO ""mwishi wa kunukuu.
Sasa nikiangalia miaka 20 hiyo imetimia toka nitoke masomoni lakini kizazi kilichosemwa kimegeuka kuwa cha Simba na Yanga na kizazi cha machawa aina ya kina Mwijaku.
Kwanini 2045 ,naamini 2045 watanzania angalau kidogo watakuwa wameanza kuelimika na nitaongoza taifa ambalo vijiweni litakuwa linajadili maendeleo ya nchi yao, katiba yao pia CCM itakuwa imesambaratika na mimi nitafanya kazi ya kuirudisha.
Kwasasa hacha nirudi CCM kimwili kiroho kama JPM ndani alikuwa UPINZANI nje CCM.
POLENI CHADEMA TUKUTANE SERIKALI ZA MITAA
Maandamano hayo kushindwa ilikuwa ni jambo la lazima lililotarajiwa kwa sababu wahusika walipanga kutumia njia isiyokuwa sahihi.My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi ππ
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma π€ͺπ€ͺ
Mwisho, Watanzania sio manyumbu