Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Haya uliyoandika kama ni kucheza mpira, umeenda nje ya uwaja, au kama ni gari limeacha njia.🤣🤣🤣My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪
Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Walikuwa wanadhani kuwa Watanzani ni mazombie kama hawa misukule ya mzee MboweMy Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪
Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Hivi wewe unathubutu kweli kusema kuwa CHADEMA wameshindwa Kwenye maandamano hayo??My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪
Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Swali. Siku ya maandamano yaliohurusiwa hawapati watu?Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.
Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Lakini,wewe na wenzako mmekua wajumbe wema kufikisha ujumbe wao CHADEMA bila malipo wala kulalamika.My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪
Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Ndio, yapi yalifanikiwa?Swali. Siku ya maandamano yaliohurusiwa hawapati watu?
Kwa vile vitisho Hata Wewe Naamini Huwezi toa Hata puaJana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.
Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Hivi wewe unathubutu kweli kusema kuwa CHADEMA wameshindwa Kwenye maandamano hayo??
Hivi wewe hujaona namna Mbowe alivyowapiga chenga hao maaskari wenu, walioweka ulinzi wa masaa 24 nyumbani kwake Mikocheni??
Hatimaye wakashangaa, ameibukia Magomeni Mapipa!
Huo ni ushindi mkubwa Kwa upande wa CHADEMA
Vipi mbona mnahangaika sanaJana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.
Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Kufanikiwa kunapimwa vipi? Tatizo lenu watz wenzenu mnashabikia kuumizwa hujui unafaidika na nini? Wakati weye mwenyewe maiti mtarajiwaNdio, yapi yalifanikiwa?
Ukweli ni kwamba nyiye CCM mmejithibitisha kuwa nyinyi na Jeshi la Polisi ni sawa na watoto mapacha.Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.
Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Kufa tutakufa wotez hivi vitisho vya kufa ili mtu asitoe maoni yake muache. Kwakwambia elewa. Chadema though ni peoples power, hawajaweza kabisa idealistically kuwaeleza watu maaswala ya kwanini waandamane what is the main objective na wataipata vipi. Maana kuandamana tu then what?Kufanikiwa kunapimwa vipi? Tatizo lenu watz wenzenu mnashabikia kuumizwa hujui unafaidika na nini? Wakati weye mwenyewe maiti mtarajiwa
Waafrika huwa hatufi, tunabadilisha majukumu tu, ukifa unakiwa mzimuKufanikiwa kunapimwa vipi? Tatizo lenu watz wenzenu mnashabikia kuumizwa hujui unafaidika na nini? Wakati weye mwenyewe maiti mtarajiwa