Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu
Jana tarehe 23/09/2024 kila mtu alishuhudia zaidi ya mzee mbowe na binti yake hakuna aliye poteza muda kushiriki upuuzi walio upanga.

Wananchi kila kona waliendelea na shuguli zao za kujitafutia riziki

Hili ni funzo tosha kwa Chadema kuwa watanzania wanajielewa kamwe hatuwezi kutumiwa kwenye maandamano ya kuchafua Amani ya Nchi yetu,

Familia zao zimeshiba hawana shida wana mihela bank, hata wakikamatwa na kuwekwa ndani watoto watakula. kamwe hatuwezi kutumiwa na wanasiasa walafi.

Amani ya Taifa letu ni muhimu zaidi kuliko Chadema.

Wananchi wenzangu kamwe tusikubali kutumiwa na wahuni kuvuruga amani yetu.
TANZANIA KWANZA VYAMA BADAE.
 
My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.

Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂

Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪

Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Hahaha! Haya uliyoandika kama ni kucheza mpira, umeenda nje ya uwaja, au kama ni gari limeacha njia.🤣🤣🤣
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
 
My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.

Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂

Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪

Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Hivi wewe unathubutu kweli kusema kuwa CHADEMA wameshindwa Kwenye maandamano hayo??

Hivi wewe hujaona namna Mbowe alivyowapiga chenga hao maaskari wenu, walioweka ulinzi wa masaa 24 nyumbani kwake Mikocheni??

Hatimaye wakashangaa, ameibukia Magomeni Mapipa!

Huo ni ushindi mkubwa Kwa upande wa CHADEMA
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Swali. Siku ya maandamano yaliohurusiwa hawapati watu?
 
My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.

Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂

Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪

Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Lakini,wewe na wenzako mmekua wajumbe wema kufikisha ujumbe wao CHADEMA bila malipo wala kulalamika.
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Kwa vile vitisho Hata Wewe Naamini Huwezi toa Hata pua
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Vipi mbona mnahangaika sana
IMG-20240924-WA0007.jpg
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Ukweli ni kwamba nyiye CCM mmejithibitisha kuwa nyinyi na Jeshi la Polisi ni sawa na watoto mapacha.

Siku ambayo hao Jeshi la Polisi, watakapoamua kutekeleza wajibu wao Kwa mujibu wa Katiba ya nchi bila upendeleo wowote, ndiyo itakuwa siku tutakapomboleza kifo chenu
 
Kiongozi mkuu wa upinzani anaitisha maandamano alafu anajikuta peke yake barabarani inasikitisha sana
 
Kufanikiwa kunapimwa vipi? Tatizo lenu watz wenzenu mnashabikia kuumizwa hujui unafaidika na nini? Wakati weye mwenyewe maiti mtarajiwa
Kufa tutakufa wotez hivi vitisho vya kufa ili mtu asitoe maoni yake muache. Kwakwambia elewa. Chadema though ni peoples power, hawajaweza kabisa idealistically kuwaeleza watu maaswala ya kwanini waandamane what is the main objective na wataipata vipi. Maana kuandamana tu then what?
Unaogopaje polisi while ulisema bora ufe ila road unaingia, maana yake walijipanga. Na mmmaqe, mngeingia, na mimi ningeingia na viboko. Mngeniua mimi, msituletee perere zenu Bongo hapo. Mnashida na raisi mngemfata ruvuma. Au muongee mnachotaka. Na nchi Chadema hautoiongoza hii labda ubunge na udiwani.
 
Kufanikiwa kunapimwa vipi? Tatizo lenu watz wenzenu mnashabikia kuumizwa hujui unafaidika na nini? Wakati weye mwenyewe maiti mtarajiwa
Waafrika huwa hatufi, tunabadilisha majukumu tu, ukifa unakiwa mzimu
 
Back
Top Bottom