Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
WIMBo wa zamani: Mbowe, Lisu, Lema huwa hawajitokezi huwaachia wananchi kupigwa.My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi ππ
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma π€ͺπ€ͺ
Mwisho, Watanzania sio manyumbuππ
View: https://www.instagram.com/p/DASWBoEKBlE/?igsh=MXZnYm0wbnZ2emFuOQ==
Ukweli: Mbowe, Lisu, Lema wote wamejitokeza hadi na familia zao- polisi wote na FFU na Tiss na watekaji na CCM na silaha za kivita tumeziona.
Wimbo Mpya: ati wananchi hawakutokea, ati hakuna mafanikio. Jamani mnatufanya waTanganyika wajinga? Yaani hatuoni? Hatuna akili?
Milestone: Viongozi wa Chadema score 99.99%
Future: wananchi wamefarijika viongozi wa Chadema ni jasiri ni kama Nyerere alivyokuwa anawapinga wakoloni hakuna wananchi wengi walikuwa wanajitokeza. Lakini walikuwa wanatoa support.
Conclusion: Ushindi kwa Chadema, Dictator Samia kaharibu kila kitu na hamna atakayemwamini hasa baada ya kuotokujitenganisha na watekaji. Dictator anaangalia maslahi yake tu na familia yake.
Bravado Chadema