Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu
My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.

Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi 😂😂

Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma 🤪🤪

Mwisho, Watanzania sio manyumbu👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DASWBoEKBlE/?igsh=MXZnYm0wbnZ2emFuOQ==

WIMBo wa zamani: Mbowe, Lisu, Lema huwa hawajitokezi huwaachia wananchi kupigwa.

Ukweli: Mbowe, Lisu, Lema wote wamejitokeza hadi na familia zao- polisi wote na FFU na Tiss na watekaji na CCM na silaha za kivita tumeziona.

Wimbo Mpya: ati wananchi hawakutokea, ati hakuna mafanikio. Jamani mnatufanya waTanganyika wajinga? Yaani hatuoni? Hatuna akili?

Milestone: Viongozi wa Chadema score 99.99%
Future: wananchi wamefarijika viongozi wa Chadema ni jasiri ni kama Nyerere alivyokuwa anawapinga wakoloni hakuna wananchi wengi walikuwa wanajitokeza. Lakini walikuwa wanatoa support.

Conclusion: Ushindi kwa Chadema, Dictator Samia kaharibu kila kitu na hamna atakayemwamini hasa baada ya kuotokujitenganisha na watekaji. Dictator anaangalia maslahi yake tu na familia yake.

Bravado Chadema
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Kwa idadi ya nguvu ya dola iliotumika kuogopesha watu, huwezi tumia idadi ya waliokuwepo kupima popularity ya chama hicho.
 
WIMBo wa zamani: Mbowe, Lisu, Lema huwa hawajitokezi huwaachia wananchi kupigwa.

Ukweli: Mbowe, Lisu, Lema wote wamejitokeza hadi na familia zao- polisi wote na FFU na Tiss na watekaji na CCM na silaha za kivita tumeziona.

Wimbo Mpya: ati wananchi hawakutokea, ati hakuna mafanikio. Jamani mnatufanya waTanganyika wajinga? Yaani hatuoni? Hatuna akili?

Milestone: Viongozi wa Chadema score 99.99%
Future: wananchi wamefarijika viongozi wa Chadema ni jasiri ni kama Nyerere alivyokuwa anawapinga wakoloni hakuna wananchi wengi walikuwa wanajitokeza. Lakini walikuwa wanatoa support.

Conclusion: Ushindi kwa Chadema, Dictator Samia kaharibu kila kitu na hamna atakayemwamini hasa baada ya kuotokujitenganisha na watekaji. Dictator anaangalia maslahi yake tu na familia yake.

Bravado Chadema
Ni mwendo wa kujifariji tuu 😂😂
 
Wewe ni mjinga
Chadema wamefanikiwa kuonyesha jinsi serikalibna Fisiemu wanavyo iogopa angalia.
Polisi wameletwa kutoka mikoa kadha wakiwa wamesheheni silaha za kivita washwasha mbwa farasi na magari tele huu ni uoga wa wazi (wengine wamevaa bullet proof vest na helmets 😁).
Kuachiwa kwa viongozi haraka haraka ni nini zaidi ya ukunguru.
Wamefanikiwa Kwa nyie nyumbu kukimbia maandamano na kumsusia Mbowe? 😂😂
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
Walikosea timing tu huwezi pata waandamanaji DAR, ILA ingekuwa Mwanza, Arusha na Mbeya watu wangejitokeza.
 
Jana walijitokeza watu wasiozidi hamsini katika matembezi ya hisani ya Chadema. Nilimsikia Salim Kikeke, mnazi mkubwa wa Chadema aliyejipanga kuisaidia iingie madarakani, akimuuliza Mbwawe, Mwenyekiti wa CDM, kwamba watu wako wapi, Mbowe akajibu hata mimi siwaoni.

Hakika chama cha demokrasia na maandamano kimeshuka umaarufu, na wananchi hawakielewi kabisa
JAPANESE UNCENSORED
 
Kuna watu wako brain washed mpaka inatisha yaani maandamano yamepangwa kufanyika Dsm polisi wamerespond kwa siraha na nguvu kubwaa hadi Simiyu huko bado unasema utumbo huu au kwako power nini
Anaonesha ushabiki wa dhahiri . Huku mikoani vibaka wanatusumbua , polisi wote wapo Dar.
 
Hivi wewe unathubutu kweli kusema kuwa CHADEMA wameshindwa Kwenye maandamano hayo??

Hivi wewe hujaona namna Mbowe alivyowapiga chenga hao maaskari wenu, walioweka ulinzi wa masaa 24 nyumbani kwake Mikocheni??

Hatimaye wakashangaa, ameibukia Magomeni Mapipa!

Huo ni ushindi mkubwa Kwa upande wa CHADEMA
Hahahahaha. Kujiliwaza ni muhimu ktk maisha haya.!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE ndio waliokuwa wakimtetea Mheshimiwa Mbowe .

Mbowe amejikuta amekimbiwa na kuuzwa na vijana wake wote waliokuwa wakimjaza upepo kuwa wataandamana hata ikibidi kufa.lakini cha ajabu leo hakuna aliyetokeza Pua yake ,zaidi ya kuwaona wote wakiwa wamejificha kwa nguvu zote huko Twitter na kuchungulia Mbowe anavyokamatwa peke yake utafikiri anaongoza mkusanyiko wa kondoo.

Mbowe amejuwa na kupata somo kuwa hakuna anayemuunga mkono wala kuunga mkono harakati zake .ametambua nguvu ya ushawishi aliyonayo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Nchi hii hususani kwa kundi la vijana. Haijafahamika walikuwa wapi hata wale wanaoitwa walinzi wa mbowe ambao unakuta wamejivimbisha vifua na kununa Utafikiri wanauza na kupima sumu.

Vijana wa CHADEMA wametuma ujumbe kwa vitendo kwa Mbowe kuwa hawaungi mkono habari za maandamano na wala hawapo tayari kuvuruga amani ya Nchi .hii ndio sababu walimtelekeza peke yake na kumuacha apambane na hali yake.ndio sababu alikuta uwanja wa kukutania hakuna wanachama wala vijana wala sare ya chama chake.

Vijana wa CHADEMA pamoja na kukosa kwao umakini na kutokujitambua kwao, lakini kwenye kuvuruga amani wamegoma na kumgomea kabisa mbowe. Wamegoma kwenda kupigwa virungu halafu watelekezwe na chama bila kupewa Msaada wa aina yoyote ile.wanatambua uimara wa askari wetu na ndio maana wamegoma kabisa kwenda kupeleka pua zao .

Mpaka muda huu haifahamiki vijana hao wamejificha wapi huko ambako hawataki hata kuonekana sura zao.inaonyesha wengi walikuja Dar kushangaa jiji lilivyo na kuangalia mechi za Simba na Yanga zilizopigwa wikendi hii katika michuano ya club Bingwa na shirikisho kufuzu hatua ya makundi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vyombo vya habari vyote vimeelemea CCM kufuatia amri ya kutokubali watu watoe maoni kinzani.
 
CHADEMA wanatumia hisia, mihemko, huruma za wananchi na ushabiki wa mitandao ya kijamii kujiendesha na kujiongoza. Hawana mipango mikakati mahususi yenye kuvutia wananchi wengi, wala hawatumii diria mahususi ya kitaalamu kutokana na ushauri wa kitaalamu, bali uelekeo wao ni mpaka mwananchi agongwe na gari aumizwe vibaya, au mwananchi afumaniewe apigwe sana aumizwe, sasa kuwatetea hao ndiyo huchukuliwa kama sera za chadema.

Kinyume na hapo hawana cha kufanya hawana mpango....

Nikitazama bandiko lako pia, huna mipango mikakati yoyote, na kwahivyo nakunona huna tofauti yoyote kabisa na chadema na kwahivyo huwezi kutoboa 🐒
Hakipo yangu ni moja tu kuwa CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.Hakuna wa kuitenganisha CCM na Taifa letu.
 
Ukiweza kasome MYTH OF THE CAVE cha Plato katika andiko lake la THE COLLEGE
Wasaliti wakubwa tu nyie.ungekwenda ukaandamane.wapiga kelele tu Ninyi. CCM ndio tumaini la watanzania na itaendelea kuongoza kwa kadri ya uhai wa Taifa letu
 
Ataandamana vipi huku bunduki na mabomu yako tayari kuondoa maisha yake?
Kipimo sahihi kama Chadema inakubalika ilikuwa waiache Ipange maandamano yake na CCM iseme hayana maana yapuuzwe kisha polisi watimize wajibu wao kulinda maandamano. Hapo ndio tungeona kama Chadema inapuuzwa au laa? Watu wanakamatwa na kupigwa kisha asiyeenda unataka kumlaumu? Au mnataka vita? Kwamba waandamanaji wamesema ya amani mlitaka wake na Mishale muuane?
Naona karibuni yatatokea ya Sudan maandamano kulindwa na wanajeshi kisha tuone hao policcm watasogea.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE ndio waliokuwa wakimtetea Mheshimiwa Mbowe .

Mbowe amejikuta amekimbiwa na kuuzwa na vijana wake wote waliokuwa wakimjaza upepo kuwa wataandamana hata ikibidi kufa.lakini cha ajabu leo hakuna aliyetokeza Pua yake ,zaidi ya kuwaona wote wakiwa wamejificha kwa nguvu zote huko Twitter na kuchungulia Mbowe anavyokamatwa peke yake utafikiri anaongoza mkusanyiko wa kondoo.

Mbowe amejuwa na kupata somo kuwa hakuna anayemuunga mkono wala kuunga mkono harakati zake .ametambua nguvu ya ushawishi aliyonayo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Nchi hii hususani kwa kundi la vijana. Haijafahamika walikuwa wapi hata wale wanaoitwa walinzi wa mbowe ambao unakuta wamejivimbisha vifua na kununa Utafikiri wanauza na kupima sumu.

Vijana wa CHADEMA wametuma ujumbe kwa vitendo kwa Mbowe kuwa hawaungi mkono habari za maandamano na wala hawapo tayari kuvuruga amani ya Nchi .hii ndio sababu walimtelekeza peke yake na kumuacha apambane na hali yake.ndio sababu alikuta uwanja wa kukutania hakuna wanachama wala vijana wala sare ya chama chake.

Vijana wa CHADEMA pamoja na kukosa kwao umakini na kutokujitambua kwao, lakini kwenye kuvuruga amani wamegoma na kumgomea kabisa mbowe. Wamegoma kwenda kupigwa virungu halafu watelekezwe na chama bila kupewa Msaada wa aina yoyote ile.wanatambua uimara wa askari wetu na ndio maana wamegoma kabisa kwenda kupeleka pua zao .

Mpaka muda huu haifahamiki vijana hao wamejificha wapi huko ambako hawataki hata kuonekana sura zao.inaonyesha wengi walikuja Dar kushangaa jiji lilivyo na kuangalia mechi za Simba na Yanga zilizopigwa wikendi hii katika michuano ya club Bingwa na shirikisho kufuzu hatua ya makundi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
saccos yake sasa hivi haina mvutoi tena
 
Back
Top Bottom