Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #181
Watanzania kwa sasa wameipuuza kabisa CHADEMAsaccos yake sasa hivi haina mvutoi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania kwa sasa wameipuuza kabisa CHADEMAsaccos yake sasa hivi haina mvutoi tena
Si mlikuwa mnapiga na kutoa vitisho na matambo kuwa mtaandamana hata ikibidi kufa bila kuzuiwa wala kuzuiwa na polisi.Ataandamana vipi huku bunduki na mabomu yako tayari kuondoa maisha yake?
Kipimo sahihi kama Chadema inakubalika ilikuwa waiache Ipange maandamano yake na CCM iseme hayana maana yapuuzwe kisha polisi watimize wajibu wao kulinda maandamano. Hapo ndio tungeona kama Chadema inapuuzwa au laa? Watu wanakamatwa na kupigwa kisha asiyeenda unataka kumlaumu? Au mnataka vita? Kwamba waandamanaji wamesema ya amani mlitaka wake na Mishale muuane?
Naona karibuni yatatokea ya Sudan maandamano kulindwa na wanajeshi kisha tuone hao policcm watasogea.
Ukizeeka utakuwa mchawi.Ndugu zangu Watanzania,
Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE ndio waliokuwa wakimtetea Mheshimiwa Mbowe .
Mbowe amejikuta amekimbiwa na kuuzwa na vijana wake wote waliokuwa wakimjaza upepo kuwa wataandamana hata ikibidi kufa.lakini cha ajabu leo hakuna aliyetokeza Pua yake ,zaidi ya kuwaona wote wakiwa wamejificha kwa nguvu zote huko Twitter na kuchungulia Mbowe anavyokamatwa peke yake utafikiri anaongoza mkusanyiko wa kondoo.
Mbowe amejuwa na kupata somo kuwa hakuna anayemuunga mkono wala kuunga mkono harakati zake .ametambua nguvu ya ushawishi aliyonayo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Nchi hii hususani kwa kundi la vijana. Haijafahamika walikuwa wapi hata wale wanaoitwa walinzi wa mbowe ambao unakuta wamejivimbisha vifua na kununa Utafikiri wanauza na kupima sumu.
Vijana wa CHADEMA wametuma ujumbe kwa vitendo kwa Mbowe kuwa hawaungi mkono habari za maandamano na wala hawapo tayari kuvuruga amani ya Nchi .hii ndio sababu walimtelekeza peke yake na kumuacha apambane na hali yake.ndio sababu alikuta uwanja wa kukutania hakuna wanachama wala vijana wala sare ya chama chake.
Vijana wa CHADEMA pamoja na kukosa kwao umakini na kutokujitambua kwao, lakini kwenye kuvuruga amani wamegoma na kumgomea kabisa mbowe. Wamegoma kwenda kupigwa virungu halafu watelekezwe na chama bila kupewa Msaada wa aina yoyote ile.wanatambua uimara wa askari wetu na ndio maana wamegoma kabisa kwenda kupeleka pua zao .
Mpaka muda huu haifahamiki vijana hao wamejificha wapi huko ambako hawataki hata kuonekana sura zao.inaonyesha wengi walikuja Dar kushangaa jiji lilivyo na kuangalia mechi za Simba na Yanga zilizopigwa wikendi hii katika michuano ya club Bingwa na shirikisho kufuzu hatua ya makundi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ungeenda kuandamana tu ndugu yangu.Ukizeeka utakuwa mchawi.
Baba yake Soka ana madeni, pia analia kwa kuwa mwanaye hakumlea vizuri, mtoto mdogo anatukana watu kila siku, asiyefunzwa na wazazi, ulimwengu humfunza, acha afunzweHivi we jinga kweli. Hujui kuwa polisi walitumia nguvu nyingi kuzuia. Uwe unatumia akiri, hivi mtu aliyefiwa/kupotelea na ndugu yake anakuelewaje? Uliona babake mdogo na soka anavyolia?
Una laana kali sana wewe! Ningesema ya Soka na yamtokee mwanao ila nikirudia maandiko yako kwa jicho la tatu naona wewe hauwezi kuwa na mtoto eitha kwa kuzaliwa tasa au kwa kuvunjwa kwenye harakati zako za 🌈 maana kadhia hiyo mnaipitia vijana wetu wengi wa uvccm mnaoitana makomrediBaba yake Soka ana madeni, pia analia kwa kuwa mwanaye hakumlea vizuri, mtoto mdogo anatukana watu kila siku, asiyefunzwa na wazazi, ulimwengu humfunza, acha afunzwe
Balozi wenu wa kutoka kwa Bidden huwa mnasaga naye nyama?Una laana kali sana wewe! Ningesema ya Soka na yamtokee mwanao ila nikirudia maandiko yako kwa jicho la tatu naona wewe hauwezi kuwa na mtoto eitha kwa kuzaliwa tasa au kwa kuvunjwa kwenye harakati zako za 🌈 maana kadhia hiyo mnaipitia vijana wetu wengi wa uvccm mnaoitana makomredi
Nyie ndio zenu hizo! Mchana wababe, jioni mnalembuliana macho! Bangladeshi.Balozi wenu wa kutoka kwa Bidden huwa mnasaga naye nyama?
Mimi ni mwaminifu kwa vision siyo mtu kama nyie UWTUngekuwa Muaminifu kwa Mbowe ungekwenda kumsaidia alipokamatwa.
Kwa hiyo ulimpuuza na kumkatalia mbowe kuandamana?Mimi ni mwaminifu kwa vision siyo mtu kama nyie UWT
UWT onyesha hekima unajua maana ya kuandamana?Kwa hiyo ulimpuuza na kumkatalia mbowe kuandamana?