Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu
Ataandamana vipi huku bunduki na mabomu yako tayari kuondoa maisha yake?
Kipimo sahihi kama Chadema inakubalika ilikuwa waiache Ipange maandamano yake na CCM iseme hayana maana yapuuzwe kisha polisi watimize wajibu wao kulinda maandamano. Hapo ndio tungeona kama Chadema inapuuzwa au laa? Watu wanakamatwa na kupigwa kisha asiyeenda unataka kumlaumu? Au mnataka vita? Kwamba waandamanaji wamesema ya amani mlitaka wake na Mishale muuane?
Naona karibuni yatatokea ya Sudan maandamano kulindwa na wanajeshi kisha tuone hao policcm watasogea.
Si mlikuwa mnapiga na kutoa vitisho na matambo kuwa mtaandamana hata ikibidi kufa bila kuzuiwa wala kuzuiwa na polisi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE ndio waliokuwa wakimtetea Mheshimiwa Mbowe .

Mbowe amejikuta amekimbiwa na kuuzwa na vijana wake wote waliokuwa wakimjaza upepo kuwa wataandamana hata ikibidi kufa.lakini cha ajabu leo hakuna aliyetokeza Pua yake ,zaidi ya kuwaona wote wakiwa wamejificha kwa nguvu zote huko Twitter na kuchungulia Mbowe anavyokamatwa peke yake utafikiri anaongoza mkusanyiko wa kondoo.

Mbowe amejuwa na kupata somo kuwa hakuna anayemuunga mkono wala kuunga mkono harakati zake .ametambua nguvu ya ushawishi aliyonayo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Nchi hii hususani kwa kundi la vijana. Haijafahamika walikuwa wapi hata wale wanaoitwa walinzi wa mbowe ambao unakuta wamejivimbisha vifua na kununa Utafikiri wanauza na kupima sumu.

Vijana wa CHADEMA wametuma ujumbe kwa vitendo kwa Mbowe kuwa hawaungi mkono habari za maandamano na wala hawapo tayari kuvuruga amani ya Nchi .hii ndio sababu walimtelekeza peke yake na kumuacha apambane na hali yake.ndio sababu alikuta uwanja wa kukutania hakuna wanachama wala vijana wala sare ya chama chake.

Vijana wa CHADEMA pamoja na kukosa kwao umakini na kutokujitambua kwao, lakini kwenye kuvuruga amani wamegoma na kumgomea kabisa mbowe. Wamegoma kwenda kupigwa virungu halafu watelekezwe na chama bila kupewa Msaada wa aina yoyote ile.wanatambua uimara wa askari wetu na ndio maana wamegoma kabisa kwenda kupeleka pua zao .

Mpaka muda huu haifahamiki vijana hao wamejificha wapi huko ambako hawataki hata kuonekana sura zao.inaonyesha wengi walikuja Dar kushangaa jiji lilivyo na kuangalia mechi za Simba na Yanga zilizopigwa wikendi hii katika michuano ya club Bingwa na shirikisho kufuzu hatua ya makundi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukizeeka utakuwa mchawi.
 
Hivi we jinga kweli. Hujui kuwa polisi walitumia nguvu nyingi kuzuia. Uwe unatumia akiri, hivi mtu aliyefiwa/kupotelea na ndugu yake anakuelewaje? Uliona babake mdogo na soka anavyolia?
Baba yake Soka ana madeni, pia analia kwa kuwa mwanaye hakumlea vizuri, mtoto mdogo anatukana watu kila siku, asiyefunzwa na wazazi, ulimwengu humfunza, acha afunzwe
 
Baba yake Soka ana madeni, pia analia kwa kuwa mwanaye hakumlea vizuri, mtoto mdogo anatukana watu kila siku, asiyefunzwa na wazazi, ulimwengu humfunza, acha afunzwe
Una laana kali sana wewe! Ningesema ya Soka na yamtokee mwanao ila nikirudia maandiko yako kwa jicho la tatu naona wewe hauwezi kuwa na mtoto eitha kwa kuzaliwa tasa au kwa kuvunjwa kwenye harakati zako za 🌈 maana kadhia hiyo mnaipitia vijana wetu wengi wa uvccm mnaoitana makomredi
 
Una laana kali sana wewe! Ningesema ya Soka na yamtokee mwanao ila nikirudia maandiko yako kwa jicho la tatu naona wewe hauwezi kuwa na mtoto eitha kwa kuzaliwa tasa au kwa kuvunjwa kwenye harakati zako za 🌈 maana kadhia hiyo mnaipitia vijana wetu wengi wa uvccm mnaoitana makomredi
Balozi wenu wa kutoka kwa Bidden huwa mnasaga naye nyama?
 
Balozi wenu wa kutoka kwa Bidden huwa mnasaga naye nyama?
Nyie ndio zenu hizo! Mchana wababe, jioni mnalembuliana macho! Bangladeshi.
 

Attachments

  • 20240923_183715.jpg
    20240923_183715.jpg
    18.7 KB · Views: 1
Nitaendelea kukukumbusha ujuha wako wa kujidai saa hizi Mbowe kuwa mwamba kwako.

Kama Mbowe alisusiwa kuungwa mkono kwenye maandamano kwanini aendelee kuwa mwenyekiti?
 
Hii ilionesha dhahiri kua kaishiwa ushawishi
 
Kuna wazazi walipata hasara !

Kuwa na mtoto asiyejitambua wala hajui anasimamia wapi.
 
Back
Top Bottom