Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣Bado hajaona mengi, ajaiona mirembe huyo 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Bado hajaona mengi, ajaiona mirembe huyo 😂
🤣🤣🤣 Bidada Sio mtu wa madanga huyu, ana Heshima zake.umekaa wiki 2 tu unajiona ushalijua jiji ,tena ulikua unatembezwa na demu we unadhani angewezaje kukupitisha katikat ya jiji zaidi ya vichakani ili usionekane na madanga yake,
Mwingine kaishia kukataza mkaa na kuni, tukija kwenye umeme kachemka, mwingine simu zitazimwa siku ya valentine, kutoa matamko waonekane wachapa kazi, kuleni kwa kupuliza wakati wenu huu, mwenzenu makonda, alikataza boda kuingia mjini Sasa hivi mtumiaji mzuri tu.
Wapi huko .labda mbeya [emoji28]Kuna sehemu ni pabovu dodoma kuzuri mkuu
Nikweli Mkuu, ila Sasa zile sifa mlokua mnaipa Dodoma ni bureee !!.Kuna sehemu ni pabovu dodoma kuzuri mkuu
Una ugomvi na wenye grini site yao sio 😂
ntwara huko ndanindani watu ambao hata Rais hawamjui.
Dodoma ya sasa sio kama ya zamani, kwa sasa ina unafuu kidogo. Kabla ya 2016 dodoma ilikuwa inapitwa kimaendeleo na miji midogo sana hapa tz ila kwa sasa angalauNikweli Mkuu, ila Sasa zile sifa mlokua mnaipa Dodoma ni bureee !!.
Na kimahesabu chapchap, Dodoma mzungukzo wa Pesa ni mdogo Kwa watu wenye Maisha ya Kati .
Ili uwe na mzungukzo mzuri wa Pesa, lazima uwekeze mipesa mingi ili utageti wale top officials
Rais wao bado ni nyerere 😂ntwara huko ndanindani watu ambao hata Rais hawamjui.
Labda kama una mengine ,lakini mahali pale nilibahatika kukaa kwa muda kwenye Swala la Uchafu unapasingizia ,ungetaja eneo moja chafu kuna jiji chafu na hewa chafu kuliko Dar Es Salaam ..Tena huduma za kijamii zipo chiiini bin chiiini , chiiiini mnooo !!. Hata wakazi wanakiri.
Hakika, kimazingira usalama wa maeneo ni mdogo, mshukurin sana Kuhamia huko Kwa Serikali.
Uchafu kwelikweli , ni pachafuuu.
Mimi sitaki kuingia kwenye malumbano. shida ni kuhitaji tu na mimi kutembezwa na huyo bidada kama hutojali. Kama vipi nipe mawasiliano yake. Nina mpango wa kuja huko mwezi Juni.Mshukurin San Magufuli nawaambia, hapo ni Serikali ipo, hivi huko nyuma ilikuaje ??.
Kwakweli, Kwa miaka kumi, mngekua mbali sana .Yule Mzee angekuwa hai huu mji WA Dodoma ungekuwa mtamu sana
[emoji23]Bado hajaona mengi, ajaiona mirembe huyo [emoji23]
Kuna credits mnampa kiasi hata yeye angekuwa hai angewashangaa.Yule Mzee angekuwa hai huu mji WA Dodoma ungekuwa mtamu sana
NaamDodoma ya sasa sio kama ya zamani, kwa sasa ina unafuu kidogo. Kabla ya 2016 dodoma ilikuwa inapitwa kimaendeleo na miji midogo sana hapa tz ila kwa sasa angalau
Shika adabu yako? Sijui we jitu la wapi ? Achana na Idodomya yetuNimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ).
Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka wafanye ibada ya kumkumbuka Hayati John Pombe Magufuli !!.
Mji umedorora, hamna projects Mpya ukiachilia mbali za Hayati JPM, kumbe Hayati asingelazimisha Serikali kuhamia Dodoma, Haka kamkoa kalikua ni kaajabu mnoo.
Dodoma hii ndio mnaishindanisha na Mwanza?? Ule Uzi wa kushindanisha ,sijawah usoma ,ila itoshe kusema ,Mwandishi wa ule Uzi alitumia kiungo kingine kufikiria Hilo na sio Akili.
Mji mchafu mchafu ,una vichaka na tumapori katikati ya jiji , Majani barabaran, Mji umepauka kinoma, huduma za kijamii zipo chiiini mnooo , maeneo mengi kiusalama hayako vizuri , maji ya chumviii kwelikweli !!
Mshukurin sana Mwamba Hayati JPM, kumbe ndio maana mlikua mnaongoza Kwa kua ombaomba.
Wiki mbili mtu ameshajua impact ya magufuli dodoma .Ungemsifia tu JPM bila kutumia mji wa Dodoma,...wewe umekaa wiki 2 unaona JPM ndio kafanya kila kitu hapo?kwenye maendeleo ya hii nchi acha Dodoma kila kiongozi ana mkono wake...kwa taarifa yako kiongozi aliyejenga UDOM,ndio aliyefanya huo mji kuchangamka,ongezeko la wanafunz wa UDOM imebadiri vitu vingi sana Dodoma hata gharama za maisha...wewe umeenda juzi,sisi tumekuwepo hapo tangu 2003...tumeishi hapo na kuondoka,tunajua huo mji vzr...kifupi ni jiji linalokua kwa kasi kubwa.
Huyo mpumbavu ndio unazungumzia? Eti projects za Hayati Magufuli,hivi Kuna miradi ya mtu binafsi Kwa Ajili ya public? Hata ajifariji vipi hakuna siku Mwanza itakaribia Dodoma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ChoiceVariable
Sent using Jamii Forums mobile app