Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

umekaa wiki 2 tu unajiona ushalijua jiji ,tena ulikua unatembezwa na demu we unadhani angewezaje kukupitisha katikat ya jiji zaidi ya vichakani ili usionekane na madanga yake,
🤣🤣🤣 Bidada Sio mtu wa madanga huyu, ana Heshima zake.

Kwa ufupi Dodoma, sehem muhim unaweza hata zimaliza Kwa siku Moja kuzunguka.
 
Kuna sehemu ni pabovu dodoma kuzuri mkuu
Nikweli Mkuu, ila Sasa zile sifa mlokua mnaipa Dodoma ni bureee !!.

Na kimahesabu chapchap, Dodoma mzungukzo wa Pesa ni mdogo Kwa watu wenye Maisha ya Kati .

Ili uwe na mzungukzo mzuri wa Pesa, lazima uwekeze mipesa mingi ili utageti wale top officials
 
Nikweli Mkuu, ila Sasa zile sifa mlokua mnaipa Dodoma ni bureee !!.

Na kimahesabu chapchap, Dodoma mzungukzo wa Pesa ni mdogo Kwa watu wenye Maisha ya Kati .

Ili uwe na mzungukzo mzuri wa Pesa, lazima uwekeze mipesa mingi ili utageti wale top officials
Dodoma ya sasa sio kama ya zamani, kwa sasa ina unafuu kidogo. Kabla ya 2016 dodoma ilikuwa inapitwa kimaendeleo na miji midogo sana hapa tz ila kwa sasa angalau
 
Tena huduma za kijamii zipo chiiini bin chiiini , chiiiini mnooo !!. Hata wakazi wanakiri.

Hakika, kimazingira usalama wa maeneo ni mdogo, mshukurin sana Kuhamia huko Kwa Serikali.


Uchafu kwelikweli , ni pachafuuu.
Labda kama una mengine ,lakini mahali pale nilibahatika kukaa kwa muda kwenye Swala la Uchafu unapasingizia ,ungetaja eneo moja chafu kuna jiji chafu na hewa chafu kuliko Dar Es Salaam ..

Suala la huduma za kijamii nakubaliana na wewe kwenye maji tu kwa maeneo mengi ni changamoto,lakini umeme ,vituo vya Afya ,Chakula na masoko kwa dodoma umeandika kimuhemko tu

Hakuna Jiji limepangaliwa kimipango kama la Dodoma kuna nafasi baada ya nyumba kwa nyumba na pia hivi sasa hata miundombinu ni mizuri ,ungeandika haya kabla ya 2015 ningekubaliana na wewe ila hivi sasa unatuseti au una Agenda binafsi.
 
Ungemsifia tu JPM bila kutumia mji wa Dodoma,...wewe umekaa wiki 2 unaona JPM ndio kafanya kila kitu hapo?kwenye maendeleo ya hii nchi acha Dodoma kila kiongozi ana mkono wake...kwa taarifa yako kiongozi aliyejenga UDOM,ndio aliyefanya huo mji kuchangamka,ongezeko la wanafunz wa UDOM imebadiri vitu vingi sana Dodoma hata gharama za maisha...wewe umeenda juzi,sisi tumekuwepo hapo tangu 2003...tumeishi hapo na kuondoka,tunajua huo mji vzr...kifupi ni jiji linalokua kwa kasi kubwa.
 
Yule Mzee angekuwa hai huu mji WA Dodoma ungekuwa mtamu sana
Kuna credits mnampa kiasi hata yeye angekuwa hai angewashangaa.
Huo mji ulianza kupendeza kipindi cha kikwete, tuliofika kabla na baada tunalijua hili..
Anko Magu kakuta mji upo kwenye mchaka mchaka wa investment za serikali ambazo na yeye akaziendeleza. Nothing new

Kitu kikubwa alichokifanya ni kuweka dhamira ya dhati katika kuhamisha serikali ifanyie kazi dodoma. Vingine vote ilikuwa ni muendelezo tu
 
Nenda kongwa kwa Mzee wa mnada uone kulivyo
 
Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ).


Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka wafanye ibada ya kumkumbuka Hayati John Pombe Magufuli !!.

Mji umedorora, hamna projects Mpya ukiachilia mbali za Hayati JPM, kumbe Hayati asingelazimisha Serikali kuhamia Dodoma, Haka kamkoa kalikua ni kaajabu mnoo.


Dodoma hii ndio mnaishindanisha na Mwanza?? Ule Uzi wa kushindanisha ,sijawah usoma ,ila itoshe kusema ,Mwandishi wa ule Uzi alitumia kiungo kingine kufikiria Hilo na sio Akili.


Mji mchafu mchafu ,una vichaka na tumapori katikati ya jiji , Majani barabaran, Mji umepauka kinoma, huduma za kijamii zipo chiiini mnooo , maeneo mengi kiusalama hayako vizuri , maji ya chumviii kwelikweli !!


Mshukurin sana Mwamba Hayati JPM, kumbe ndio maana mlikua mnaongoza Kwa kua ombaomba.
Shika adabu yako? Sijui we jitu la wapi ? Achana na Idodomya yetu
 
Ungemsifia tu JPM bila kutumia mji wa Dodoma,...wewe umekaa wiki 2 unaona JPM ndio kafanya kila kitu hapo?kwenye maendeleo ya hii nchi acha Dodoma kila kiongozi ana mkono wake...kwa taarifa yako kiongozi aliyejenga UDOM,ndio aliyefanya huo mji kuchangamka,ongezeko la wanafunz wa UDOM imebadiri vitu vingi sana Dodoma hata gharama za maisha...wewe umeenda juzi,sisi tumekuwepo hapo tangu 2003...tumeishi hapo na kuondoka,tunajua huo mji vzr...kifupi ni jiji linalokua kwa kasi kubwa.
Wiki mbili mtu ameshajua impact ya magufuli dodoma .
Ndio hawa hawa wanaoonesha hadi daraja la kigamboni, barabara ya mwendokasi na J nyerere International airport terminal three kama part ya mafanikio ya magufuli

Nakubali anko magu alijitahidi sanaaa kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani lakini hii ya kuona kila zuri ni lake na mabaya yote ni ya wenzake ni zaidi ya ujuha..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ChoiceVariable

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpumbavu ndio unazungumzia? Eti projects za Hayati Magufuli,hivi Kuna miradi ya mtu binafsi Kwa Ajili ya public? Hata ajifariji vipi hakuna siku Mwanza itakaribia Dodoma.

Dodoma kamwe haitakuja kudolola,huyo ni hater tuu ambae ni mjinga asiyejielewa..

Mwisho hata ajifariji vipi,Kasi ya ujenzi wa Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza,Hadi Ring road ije ikamilike,Msalato ikamilike, Serikali imeanza ujenzi wa viwanja changamani ,na projects zingine kibao hakuna Kupoa.

Inamaana mtu hawezi tofautisha kuhamia Kwa ghafla kulilofanywa na Mwendazake ambako automatic kulileta shocks so hiyo ghafla haipo tena ,Watumishi 80% wako Dom tayari,majengo ya Wizara karibu zote zitakamilika mwaka huu,kinachosalia ni taasisi Moja baada ya nyingine kuhamia,Sasa Kwa mazingira haya haiwezekani kukawa na Ile amsha amsha maana demand imepungua Mji unarudi kwenye natura growth..
 
Back
Top Bottom