Ni kweli kabisa Pascal Mayala sio Mjumbe wa Mkutano huo Mkuu wa JimboPascal siyo mjumbe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
eni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.
Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?
Nimekereka sana.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani bwashee we ni mnafki sana,umeona uje kumsimanga Pascal Mayalla na kakura kake kamoja alikoambulia...Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.
Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?
Nimekereka sana.
Maendeleo hayana vyama!
Swali moja tuu@Pascal Mayalla ni kweli ulitoa ahadi ya Milioni kumi kwa kila kata. ? .Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mkuu mimi sikupi pole bali hongera kwa uthubutu, maji umeyapima na umeona kina chake. Ni muda wa kujipanga tena kwa 2025, wewe ni mkongwe na mzee wa mikakati so hakuna litakaloshindikana 2025.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Na hasa amajitambulisha kwa vitendo kwa mtembea na vyeo mfukoni, mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.Hongera kwa kutimiza haki yako ya kuchaguliwa kama katiba inavyosema hayo mengine waachie CCM inawenyewe bwana
Ninachokuomba sasa katika mabandiko yako ujitambulishe kuwa ni mwanaccm sio tena unajitambulisha kuwa wewe ni mtu huru usie na chama chochote cha siasa.
Lakini faida uliyopata ni kujitambulisha kwa umma wa watanzania kuwa wewe ni CCM na kwamba zile declaration zako kuwa huna chama chochote cha siasa ulikuwa unawahadaa watanzania na umeongeza mapato ya CCM.
OhoooooDhambi ya usaliti wa Erick Kabendera inakutafuna
next time ukajaribu Sumve mkuu.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Na naaamni hili ndio lilikua lengo kuu la pasikali. Wajue tena kwa vitendoHii si bure kaka Pascal.
Kwanza umefahamika kama ni kada wa CCM. Kwa njia hiyo hata fursa nyingine zitakapojitokeza tayari unafahamika.
Lakini pia unaweza kuchukua hiyo kama ni homework ya kutafakari, waliofanikiwa walifanya nini kufanikiwa, walioshindwa wameshindwa kwa sababu gani, na hivyo kujipanga vema zaidi.
Next time labda jaribu pia kujijenga mikoani. Huko kuna fursa nzuri zaidi nafikiri kuliko Dar, hata kwa idadi ya wanaojitokeza tu.
Kila la heri kaka Pascal
Anko naomba Ku kuuliza ( sijui km umelizwa huko juu )Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
[emoji3][emoji3][emoji3]hili la uvimbaji naliamniUnavimba sana ukiitwa Mwanahabari nguli, kumbe umaarufu wako ni JF tu na sisi hatupigi kura!
Mayalla kwa lugha yetu ya kisukuma maana yake NJAAKujipendekeza kote kwa vijithread vya kusifia sifia kumbe ulikuwa uko kwenye mpango?!!!
Sikuonei huruma, bali nasikitika jinsi ulivyokuwa ukidhalilisha taaluma yako na tasnia nzima ya habari; kwa threads zako kipindi cha hivi karibuni zilivyo kuwa zimepungukiwa objectivity.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app