Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Pascal siyo mjumbe!
Ni kweli kabisa Pascal Mayala sio Mjumbe wa Mkutano huo Mkuu wa Jimbo
na hata yeye amekubali hivyo kuwa kaambulia kupigiwa moja
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
eni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
 
Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.

Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?

Nimekereka sana.

Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani bwashee we ni mnafki sana,umeona uje kumsimanga Pascal Mayalla na kakura kake kamoja alikoambulia...
 
Ukiona hivyo ujue kati ya wana JF wrote wewe na Paskal Mayalla tu ndio ccm.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Swali moja tuu@Pascal Mayalla ni kweli ulitoa ahadi ya Milioni kumi kwa kila kata. ? .

Je nini hasa lilikua lengo la hiyo ahadi. ? .

Polee, ccm Ina wenyewe hilo ulijue kwa vitendo.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mkuu mimi sikupi pole bali hongera kwa uthubutu, maji umeyapima na umeona kina chake. Ni muda wa kujipanga tena kwa 2025, wewe ni mkongwe na mzee wa mikakati so hakuna litakaloshindikana 2025.
 
Hongera kwa kutimiza haki yako ya kuchaguliwa kama katiba inavyosema hayo mengine waachie CCM inawenyewe bwana

Ninachokuomba sasa katika mabandiko yako ujitambulishe kuwa ni mwanaccm sio tena unajitambulisha kuwa wewe ni mtu huru usie na chama chochote cha siasa.

Lakini faida uliyopata ni kujitambulisha kwa umma wa watanzania kuwa wewe ni CCM na kwamba zile declaration zako kuwa huna chama chochote cha siasa ulikuwa unawahadaa watanzania na umeongeza mapato ya CCM.
Na hasa amajitambulisha kwa vitendo kwa mtembea na vyeo mfukoni, mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.

Naamini cv yake wameiona na kupokea

Pascal Mayalla
 
Hii si bure kaka Pascal.

Kwanza umefahamika kama ni kada wa CCM. Kwa njia hiyo hata fursa nyingine zitakapojitokeza tayari unafahamika.

Lakini pia unaweza kuchukua hiyo kama ni homework ya kutafakari, waliofanikiwa walifanya nini kufanikiwa, walioshindwa wameshindwa kwa sababu gani, na hivyo kujipanga vema zaidi.

Next time labda jaribu pia kujijenga mikoani. Huko kuna fursa nzuri zaidi nafikiri kuliko Dar, hata kwa idadi ya wanaojitokeza tu.

Kila la heri kaka Pascal
Na naaamni hili ndio lilikua lengo kuu la pasikali. Wajue tena kwa vitendo
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Anko naomba Ku kuuliza ( sijui km umelizwa huko juu )

Mfano ikitokea Mh Rais Magufuli akakuteua kuwa mbunge wa kuteuliwa na rais , Utakubali ? Kwakua ushaonesha nia ya kutaka kuwa mbunge

Lkn nakumbuka uliwahi kusema humu kuwa huhitaji nafasi yoyote ile ya uteuzi ,je ikitokea itakuaje ?
 
Kujipendekeza kote kwa vijithread vya kusifia sifia kumbe ulikuwa uko kwenye mpango?!!!

Sikuonei huruma, bali nasikitika jinsi ulivyokuwa ukidhalilisha taaluma yako na tasnia nzima ya habari; kwa threads zako kipindi cha hivi karibuni zilivyo kuwa zimepungukiwa objectivity.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mayalla kwa lugha yetu ya kisukuma maana yake NJAA
 
Ila mimi naona umejitahidi manake kwa kupata kura moja, kama ingekuwa ndo NECTA ni kweli ingekuwa umepata F lakini sio Division Zero! Au mi ndo sielewi?
 
Kuna kitu nadhani hamkukizingatia kwenu ninyi watangaza nia.

Mlio wengi hamkupima upepo wa maeneo mnayoenda kugombania.

Mkuu unavyokubalika kutokana na taaluma yako ya uandishi, ungelienda eneo sahihi wewe si wa kuambulia kura1, haiwezekani.
 
Back
Top Bottom